Asante mdau..najua ALAF ndio the best papa mwenyewe..najaribu kuona kama dragon ni wengineo wapo..Mchina ni mchina siku ukienda muulize 5 years warranty inacover vitu gani.
Na je iko na limitation kama ni coast au mbali na cost.
Kwa ushauri nunua toka ALAF wako kwa game toka 1960 Mchina wa juzi tuu asikupagawishe
Mkuu mi sina experience nayo we weka nategemea kuja na sredi kama hii kuomba ushauri naamini utanisaidiaHahahaaa..ndio maana nimeweka hapa nipate ushauri wa wadau nisije kujikuta niko chini ya mwembe