JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Gari nzuri zisizoongelewa sana na wabongo Mitsubishi Outlander ni gari bora na ngumu sana, ila hazina wapiga kelele kuzifanya zishike chati midomoni mwa watanzania. Gari hizi zinavitu vingi sana...
22 Reactions
222 Replies
39K Views
Wakuu,amani iwe nanyi. Naombeni ushauri,kuna kasenti nimekanyaka mahali nataka kununua gari lakini sina uzoefu wa hizi gari mbili; Subaru Forester turbo 2004 Vs Nissan Xtrail. Kipindi hiki gari...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Kwa miaka mingi nimetumia Toyota nilianza na Rav4, Passo, Raum, Noah, Spacio, Kisha nikarudia Noah ambayo niko nayo muda mrefu kuliko gari zote hizo tangu 2019. Natamani sasa kupata Gari nyingine...
4 Reactions
12 Replies
420 Views
Wakuu salama? Mfano mtu anataka ku experience the difference, ahame kutoka Toyota Rav 4/Harrier/Vanguard. Je kati ya hizi gari mbili ipi nzuri zaidi ama abakie tu kwa Toyota? Gari hizo ni...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za usiku wataalam Jaman mimi nasema ukweli kwenye magari bado ni mshamba nilijichanga changa nikanunua gari ya kunisadia mishe za hapa na pale ni Toyota IST, gari naweza sema bado ni...
7 Reactions
71 Replies
8K Views
Wakuu kwema. Kusave muda, hii ni kwa wapenda Hybrid na Electric Cars. Haya, Zero Emission Vehicle Mandate (ZEV Mandate) ni "sheria" waliojiwekea nchi za US, EU na China ambapo wana lazimisha...
12 Reactions
72 Replies
1K Views
Itoshe kusema kwamba, Waswedish wanatengeneza vyombo vyenye uhakika katika mabasi na Malori kuna SCANIA NA VOLVO hawana mpinzani. kwenye SUV tunajua Japs na Germans wanachuana vikali lakini...
22 Reactions
119 Replies
9K Views
Wakuu habari. Hitaji langu kubwa ni kumiliki gari aina ya Land Rover Defender 110. So kuna mdau kanambia nimtafute MTU aliyonayo hata kama ni skrepa aniuzie ili niifufue. Vipi gharama ya engine...
2 Reactions
12 Replies
767 Views
Nimefanya Kazi ya uber kwa muda kidogo Nikiwa napewa Day waka na Watu au Marafiki zangu. Sasa nimefanikiwa Kupata kiasi cha pesa nahitaji Gar za mkataba au mikopo Nafuu . Pesa niliyonayo ni...
0 Reactions
5 Replies
230 Views
Hii ni moja kati ya engine bora kabisa kuwahi kutengenezwa na Toyota. Kumekuwa na engine nyingi katika series ya 1G, iliyofungwa kwenye magari mengi ya Toyota, hasa Chaser, Mark 2, Cresta...
1 Reactions
60 Replies
22K Views
Land cruiser vx v8 hii gari isikie tu! Hii ni ndege ya chini! Ukionja hii gari unaweza ishauri Serikali kuwe na leseni maalum kwa madereva wa hizi gari maana ni ndege ya chini wallah! Nahisi...
61 Reactions
261 Replies
25K Views
Ndinga moja matata sana.
7 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimekuwa nikiona zinatangazwa online na nipo mkoani, je zinapatikana kwenye maduka yetu huku mikoani?
0 Reactions
7 Replies
719 Views
Wakuu samahani kuna panya mdogo anakaa kwenye gari yangu, nikiwa nimekaa muda mrefu nimepaki nasikia akitafuna vitu nikijaribu kuangalia ananyamaza. Nikiamka asubui nakuta vikapande pande vya...
12 Reactions
85 Replies
2K Views
Wakuu habari za Jumapili!? Kuna kahela nimepata kidogo nataka kuagiza gari. Baada ya kufikiria kwa muda mrefu nimetamani gari mbili tu; Subaru Forester au Honda Crossroad. Wataalam wa magari...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Mnamo mwaka 2008 kwenye Bar flani Japan mitaa ya Shibuya Maboss wawili walikua wanamwagilia moyo, Hawa ni [Ikuro Sugawara wa Toyota na Teiko Kudo wa Subaru] wakiwa na wapenzi zao.. . Wakiwa...
9 Reactions
11 Replies
3K Views
NAOMBA USHAURI KUHUSU TOYOTA LAND CRUISER ZX Wakuu naomba ushauri wa kununua used TOYOTA LAND CRUISER ZX or VX series 202. Ipi bora na bei zake used zikoje kulingana na mileage za around...
2 Reactions
5 Replies
478 Views
Wandugu habari zenu naomba msaada maana hapa ndipo lilipochimbuko la ukweli. Nimenunua Ractis new model ikiwa na genuine km (20k) kutoka japan ( certification ya mtu alonunua toka kiwandani...
8 Reactions
49 Replies
3K Views
Wadau habarini. Nina kamkweche kangu Kavitz. Kana Engine ya 1st fe Cc990. Je, naweza kuweka engine ya Cc 1290. Je ni vitu gani nitahitaji kubadilisha.
0 Reactions
10 Replies
642 Views
Back
Top Bottom