Mercedes Benz Sedan Vs Subaru Forester?

Andrew123

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
7,052
8,638
Nimejichanga Sasa nataka kununua gari ili kujipongeza. Je gari gani ya kununua?

Kati ya Benz E200 ya kuanzia 2009 Vs Subaru Forester XS ya kuanzia 2008.

images (96).jpeg
images (97).jpeg
 
Nimejichanganya Sasa nataka kununua gari ili kujipongeza. Je gari gani ha kununua?

Kati ya Benz E200 Vs Subaru Forester XS za kuanzia 2008.

View attachment 2664871View attachment 2664872
Dah hizi gari unazilinganishaje mkuu?

Kwanza hiyo E class umepost hakuna e class ya 2008 kama hiyo,

Hiyo gari imeanza production may 2009 na models zimeanza 2010.

Pia kwa mwaka uliotaja na kwa muinekano wa gari, E200 utapata la Cc1790 lakini engine yake haitokuwa na Supercharger kama matoleo ya nyuma yake, yenyewe itakuwa turbo charger pia ni direct injection engine (ujanja ujanja weka pembeni).

Ground clearance ndogo kama wajerumani wengine kwenye sedan. Kama unaishi sehemu barabara siyo nzuri then hii kitu achana nayo.

Bei ya spea mlima ila zipo available kama unaishi Dar.

The rest ni gari poa.
 
Asante sana Mkuu Kwa maelezo, pia, sio nalinganisha Bali ndio ninazozipenda Kwa sasa
 
Mtoa mada nakuuliza swali....... Je ndiyo mara yako ya Kwanza kumiliki gari? Kama ni mara yako Kwanza nakushauri uchukue Subaru forester, hizo gari za kijerumani hazihitaji mmiliki form 1
Ndio, Ni mara ya Kwanza kutaka kumiliki gari binafsi. Ukiacha zile Noah tulizoahidiwa enzi za majadiliano na Barrick kupitia gwiji wa Sheria Prof Kalamaganda. Asante.
 
Back
Top Bottom