Lazaro Nyalandu huyoo.. marekani!

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
5,139
1,139
images

Mh.Lazaro Nyalandu

Kwa wale wapika majungu mliokua mkitumiwa kueneza uzushi humu ndani eti kwamba mheshimiwa LAZARO NYALANDU hatakiwi kukanyaga marekani sikilizeni hii latest toka kwangu na muache uzandiki kuanzia leo nasisitiza mheshimiwa so far ni miongoni mwa mawaziri wa jk ambae hana kashfa labda mumtafutie nyingine.

Kwa taarifa za "kiintelijensia" zilizofika mezani kwangu toka kwenye "corridor za uwt" mheshimiwa NYALANDU kwa sasa yuko Addis Ababa akiiwakilisha nchi for AU Conference,and he is schedulled to be in Washington DC on wednesday next week for two days breakfast meeting with the leadership there!

Habari ndio hiyo,mwenye kununa anune mwenye kucheka acheke lakini kimeeleweka!..........Invisible na wenzako salam zenu hizi,ha ha haaa.......sasa tuone jinsi atakavyokamatwa airport ndani ya us akajibu yale "mashtaka yako" ya kubaka!
 
Mimi sikujua kama alikuwa hatakiwi marekani mkuu,asante kwa taarifa,ila la muhimu naona anadhihirisha kuwa wamarekani wanataka awe rais,si ajabu anaenda kuweka mambo sawa na kuingia mikataba ya awali,tukumbuke mikataba ya carl peters.
 
wabongo bwana kwa sarakasi za maneno...!
 
Huyu si aliotaka marekani wanataka awe Rais? Who know which one is the predator and which one is the prey?
 
Romantic si sarakasi za maneno,mtoa hoja ameamua kutoa mipasho badala ya taarifa,kwa hivyo anatakiwa kujibiwa kadri alivyoandika.

mtoa hoja ndio romantic mwenyewe,mzee naona umedandia tu treni bahati mbaya,hii kitu imetokana na hoja za watu katika thread moja ikimhusu mheshimiwa huyu,watu walidai kwamba jamaa haruhusiwi kukanyaga marekani,ndio maana nikaamua ku dedicate muda wangu kuwakaza kitako kuwajuza kwamba hapana,walikua wanatudanya,ukweli ndio huu,anatinga kwa obama next week!sasa wanaanza kugeuza maneno eti anakwenda kuchukua hela za kampeni kwa kuwa wanamtaka awe rais wa tanzania!ndio sarakasi zenyewe hizo za maneno.Nataka waje waombe radhi kwa kulidanganya jukwaa tukufu la siasa!
 
Wiki ijayo vikao vya bunge vinaanza dodoma na yeye ni mbunge anayetakiwa kuwakilisha jimbo lake, kwa nin hakuenda uko wakti hayuko bungeni?
 
another sarakasi,siku zile ilikuwa hawezi kwenda atakamatwa,leo anaenda,kwanini anaenda wakati vikao vya "posho" vinaanza..!wabongo bwana.
 
Jamaa kaleta habari ki-mbea mbea ile mbaya...yaani avatar yake na hoja yake vinafanana kabisa..jamaa anajihita THE ROMANTIC yaani akimaanisha yeye ni mtu wa ngono ngono,wanawake wanawake,mapenzi mapenzi kwa hiyo hata hii habri yake anamsifia mwanaume mwenzake kwa kusema kama vile huyu Lazaro hana mke wa kumsemea....
 
Una maana ya ID Yangu?maana sina AVATAR yeyote ukitizama vizuri,Avatar na ID bado zinakuchanganya kuzitofautisha?Haya baada ya matusi lete hoja sasa,mods please msimpe ban huyu jamaa mpaka tuipate hoja yake!
 
mtoa hoja ndio romantic mwenyewe,mzee naona umedandia tu treni bahati mbaya,hii kitu imetokana na hoja za watu katika thread moja ikimhusu mheshimiwa huyu,watu walidai kwamba jamaa haruhusiwi kukanyaga marekani,ndio maana nikaamua ku dedicate muda wangu kuwakaza kitako kuwajuza kwamba hapana,walikua wanatudanya,ukweli ndio huu,anatinga kwa obama next week!sasa wanaanza kugeuza maneno eti anakwenda kuchukua hela za kampeni kwa kuwa wanamtaka awe rais wa tanzania!ndio sarakasi zenyewe hizo za maneno.Nataka waje waombe radhi kwa kulidanganya jukwaa tukufu la siasa!

Nimekupata mkuu,ila na suala la marekani kumtaka awe rais aliwezi kutenganishwa,tatizo thread imekaa kimipasho zaidi.
 
sio kweli,lilipikwa na wanaomuuona tishio kwao ndani ya ccm,hata ingekua kweli hawezi kutamka kitu kama hicho,jaribu tu kufikiria utakubalaina nami!
 
Back
Top Bottom