Hivi kwanini mtu anapoitwa kwenye public or sehemu yoyote then akawa hana uhakika kama ni yeye ndio anaeitwa akigeuka na kusema Mimi lazima kidole chake kielekee kifuani, iwe kwa kugusa kabisa...
Nilichojifunza 2025
Nguvu ya mwanaume ni PESA tu, hata uwe na umri, akili & busara kiasi gani kama huna Pesa ni bure tu!
2026 Resolutions
Kila kitu kinawezekana, tuwekeze nguvu na akili...
UZI WA VAYOLENSI; Njoo utoe makavu kama unayo!
Kama wewe ni mwanamke usiyejishughulisha, maisha yako yanategemea kudanga au kuomba omba wanaume hela - jua unatumia kikojoleo chako kama shughuli...
Waungwana na wenye busara naomba mnishauri maana sasa hii imenizidi. Iko hivi 👇
Nimehamia kwenye hii nyumba mwezi wa 7 nikitokea mkoani huko nimekuja Dar kutafuta maisha. Sasa siku za awali kila...
Kwa nini wasafiri wa ndege huwa hawasali au kufanya dua/maombi ya kuombea safari kwa pamoja kama wasafiri wa bus za abiria?
Bus zote za abiria ambazo nimesafiri nazo lazima wafanye maombi hata...
Habari wadau,
Zama hizi kumekuwa na utaratibu wa wamiliki au madereva wa vyombo vya usafiri kuweka jumbe mbalimbali katika vyombo hivyo. Jumbe hizo huwa za aina tofauti tofauti: zipo za majivuno...
Jamani wale wote ambao tumewahi kuchunga wakati tukiwa wadogo kabla hatuja anza shule na hata baada ya kuanza shule yaani ukirudi shule unachunga na zile siku za wikiendi basi wewe ni kwenda...
Siku za hivi karibuni nimezidi kuwachukia madereva bodaboda na makonda wa daladala. Si shauri na wewe uwachukie ila mimi nachukia sana wakiniita faza (kwani mimi ndio nimewazaa?). Wananiitaga...
Huwa nashangaa sana mtu anasema amenunua wigi la millioni saba. I know I love expensive things lakini there is no way siku nikiwa na mamilioni ya hela nikanunua wigi la millioni 7 au 15.
No way 😤...
Hell
Ngoja hili niseme sijui kama nipo sawa ila kwangu naona kama utoto ulio kithiri kabisa
Una kutana na manzi humu jukwaan mna enda faragha kisha ukitoka tu una kuja kumuanzishia uzi hapa...
Wakuu 🔊
Tumekuwa na siku tano za kazi… je, imeshawahi kukutokea ukasahau kitu nyumbani mpaka ukalazimika kurudi kukichukua kwa sababu bila hicho kitu huwezi kabisa kuendelea na kazi yako? 😅...
Nimekuwa nikiamini najua kuchekesha sana ila watu wananikataa.
Juzi nimeenda Coco beach na nikakusanya watu ili kuwachekesha ila hawakucheka.
Haiwezekani mimi nawachekesha watu ila wao hawacheki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.