Yani wanamuona msela kabisa amekaa zake anafurahia maisha n kisha unamuagiza mhudumu ampe vinywaji, huo ni uhuni wa zaman na dharau, unavyodhan ndivyo kumbe sivyo mtakuja kupigwa ngumi nyingi...
Fanya tu Utafiti kuanzia Enzi za akina Oscer Kambona hawa akina Mkapa na Warioba uje hadi kwa akina January na Nchemba PhD kisha malizia kwa akina Gambo, Kikeke na Mwijaku
Wanawake wa Kichagga...
Wakuu hongereni na poleni kwa majukumu
Kwanza namshukuru Mungu kwa mema yote hadi nimefanikiwa kupata kazi serikalini. Mimi ni mwenyeji wa Mikoa ya Kusini ila kwa sasa nipo Arusha hivyo nitatokea...
Hapa tulipofikia katika Nchi hii, tunaomba Mungu mkuu na Mungu mwenye nguvu, utume jeshi la malaika zako kuja kuikomboa Nchi hii kutoka kwenye mikono DHALIMU. Amina.
Binadamu huwa tunatembeleana sana yaani je ni kitu gani ulikutana nacho ugenini ukabaki mdomo wazi au kucheka tu
Mimi nilikutana na maneno katika kutambulishwa kwa mtoto wake mdogo alikuwa kama...
Drop any motto or saying that made you feel like this is huge.
mine is :-
I still repeat
No Man will be buried uncircumcised, as long as I'm still working at the mortuary
JINA: Kijana Masikini
SIFA: Nimewahi kumiliki hela za kutosha.
kwanini aliyopo hatufai?
1. Hana nidhamu ya utu wala nidhamu ya pesa.
(ushahidi ni ban alopewa jana)
2. Sio mbunifu.
Akili...
Eti ukienda bar hata ndio Una hela ila umeagiza mezani azam energy ya can,black and white,Serengeti lite 21.hivi kwa uelewa wako unahisije ukijipata NI lazima uweke bango kama hivo?
Ndugu zangu sikujua kuwa jina langu lina ukakasi humu
Kuna wakati nilikua napata mashambulizi ya maneno humu na shutuma za uwongo uwongo.
Nikajiuliza kulikoni?Leo ndo nimejua ukweli
Maana...
Somewhere in Kigogo Sambusa....
Katika utulivu wa hali ya juu najiuliza haya maisha yangekuwaje bila kitimoto rost, ndizi mbili na kachumbari pembeni? Kungekua na mbadala wake?.... nikiwa ndani...
Habari zenu wakuu
Sii vibaya tukikumbushana maana ni ustaarabu wa kawaida kabisa.
Unakuta mtu ana shughuri yake maybe send-off au ndoa, na anahitaji michango kutoka kwa wadau ndugu jamaa na...
Koo langu linawasha washa sana mida hii, wapi kuna vaibu nzuri ya muziki, nyama choma, totozi na vinywaji murua vya kulainisha koo?
Nipeni chimbo wakuu, la kuburudika na kurusha rusha miguu, ndio...
Unataja location ulipo unakaribisha mtu yeyote aliyekaribu na sehemu ulipo. Kama ni piskali mnakula maisha safi.. Kama ni msela mnabadilishana mawazo mnapeana michongo maisha yanaenda.. Muda huu...
Habari wana Jf kwa ujumla, nadhani mko salama na mnaendelea vizuri na majukumu yenu.
Kama ilivyokawaida ya wanajumuiya iishiyo pamoja kunakuwa na mambo ya kukutana, kufahamiana na kufanya...
Mwanamke alihisi mmewe anatoka na house garl akamtorosha kimyakimya akalala kwa chumbani kwa hoise garl na kuchomoa taa usiku jamaa akaingia akamvua nguo akamla bao mbili wakalala hadi asubhi...
Kwema wakuu!
Uliweza kupata milioni moja (Tsh 1,000,000) yako ya kwanza ukiwa na umri gani?
Ulifanya kazi gani,uliuza nini ukaipata?
Unaweza pia kushare uliitumiaje?
Cc: Mshangazi dot com | Demi...
Wakuu naomba mwongozo.
Kwa mfano upo zako uko kitaa unamuona jamaa amechill sehemu anaperuziperuzi kurasa za jeieFu huku anachekacheka.
Unatakiwa ufanyaje yani kwa fellow member kama huyu?
Je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.