JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu, Hebu njooni hapa tukumbushane tabia ambazo Watanzania tu tunazo, yaani huzikuti Ulaya wala Marekani, ni hapa Afrika tu Mimi nina hizi hapa za kwangu wakuu Umeme ukikata ni LAZIMA utoke...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wakuu, naomba kujua kama inaweza leta shida kwenye mambo ya utambulisho ikiwa baba akaamua kulitoa jina la ukoo kwa majina ya mwanae. Mfano Mimi naitwa Joseph John Mbilinyi, ila mtoto wangu...
6 Reactions
77 Replies
3K Views
Wakuu haina haja ya kutapeliana... Unataka Assist? Njoo omba hapa upewe... ha ha ha ha... Nampenda mke wangu shansarie!! She is the Best assistant I never had.
11 Reactions
241 Replies
14K Views
Ni kauli ya jirani yangu tukiwa ndani ya Bajaj mimi nikiwa nawahi Masifu ya Asubuhi yaani Morning Glory pale Kanisani Azania Front Nilishangaa sana 🐼
1 Reactions
7 Replies
552 Views
Sometimes unapokuwa na hela hutamani kua sehemu ambayo sawa kuna wadada ila ukiwaangalia tu anakuja mezani kwako ama sehemu ulipo anaanza kukuambia twende tukapumzike ama naomba ninunulie bia...
12 Reactions
228 Replies
9K Views
Dar ukijichanganya utajikuta unaenda kazini kutafuta hela ya nauli ya kwenda kazini tena Mungu atusaidie sisi wapambanaji
3 Reactions
2 Replies
273 Views
Mimi hili neno linaongelewa sana kwa sasa sipendi kulisikia ni hili hapa, 'KULINDA AMANI' 'MAHAKAMA' 'CCM'.
5 Reactions
25 Replies
765 Views
Wengine picha zetu za before and after bado mbavu zimekakamaa njaa tupu🤣 ila hawa tipwa tipwa kamechipukia juzi kana 21yrs old ila ghafla unaona kanapiga picha mara kapo ngoro ngoro mara dubai...
28 Reactions
173 Replies
7K Views
Karibuni katika kongamano la CHAPUTA 2025, kongamano litakalokutanisha viongozi waandamizi wa chama na wanachama watiifu. Kauli mbiu ya kongamano ni Kiganja ni furaha yangu. Magwiji mbalimbali wa...
0 Reactions
1 Replies
221 Views
Una amua kutoka na mtoto matembezi ya kwaida una kutana na wafanya biashara hawa labda anauza vidoli vya kuchezea watoto huna ratiba na kununua iko yeye ana enda mpa mtoto achezee kumuonjesha...
11 Reactions
117 Replies
3K Views
1. Anna Shayo - huyu dada nlisoma naye Sangu Secondary School Form Five. Alikuwa akiishi Mwanjelwa kwa dada yake (kama sijakosea) naye that time alikuwa kidato cha 5 masomo ya Biashara au Sanaa...
13 Reactions
136 Replies
13K Views
Wakuu niliona mjadala humu kuhusu watu kuvaa mapete na kila aliyechangia alikuwa na maoni yake. Kwa habari nilizozisikia na kuziona kwenye vyombo vya habari hata kuzisoma sehemu mbalimbali. Pete...
10 Reactions
47 Replies
2K Views
Taja msamiati unaotumika JF ukiweka na maana yake. Mimi naanza na “meno”
8 Reactions
104 Replies
3K Views
ugonile, Binafsi kuna members nimemiss sana uwepo wao humu jukwaani lakini kwa bahati mbaya sana humu uhuru umezidi, kuna wengine hawapo kwa sababu mbalimbali ikiwemo Ban, kubadili Id n.k...
21 Reactions
260 Replies
9K Views
Akihubiiriii akiungurumaaa mwisho kwa upole utaskia usisahau ku like,ku comment na ku subscribe Chanel yangu 🤣 🤣 🙌 Nacheeeka 😂😂😂 na Kuna WADADA utskia tunashukuru mtumishi Kunaanina 🤣 🤣 🤣...
8 Reactions
22 Replies
1K Views
Ipe neno hii picha 😂😂😂😂
8 Reactions
40 Replies
2K Views
Leo hii ukipata kiasi gani Cha fedha utaachana na kuajiriwa? 👇👇👇👇👇👇
4 Reactions
66 Replies
2K Views
Back
Top Bottom