Wasalaam ndugu zangu
Naomba nilete kwenu hii hoja.
Kuna njiwa wawili wa kike na wa kiume Huwa wanakuja kulala nyumbani kwangu, chini ya bati au Dari lakini asubuhi wanaonfoka ikifika jioni...
Je, unatambua kuwa kuna baadhi ya matunda na mboga za majani havitakiwi kuwekwa kwenye Friji?
Kuna baadhi ya aina ya Matunda na mboga za majani havihitaji kuwekwa kwenye Friji (Jokofu), Mfano...
Mimi binafsi siwez lala bila mto
Siwezi lala uchi yaan mali zangu ziwe naked kabisa siwez lazima nilale na bukta au pensi
Siwez lala taa ina waka
Siwezi lala mwanzoni mwa kitanda lazima...
Kuna matunda yananishangaza mfano parachichi ukisema ulinunue jioni usipolila ukilala Tu ukiamka kesho lishaanza kuoza weusi kwa ndani ila yakae pale kwa muuzaji hata kama limeiva ananunua mzigo...
Wiki ijayo nitaanza mafunzo ya urubani wa ndege kwa muda wa miezi miwili katika chuo cha YouTube.
Baada ya hiyo miwezi miwili, nitakuwa nimehitimu vizuri.
Kwa hiyo ndugu zangu, wale wote...
Wakuu niaje.
Umewahi kutumia kitu, baada ya kukitumia ukagundua kimeexpire.
Ulitumia kitu gani?
Ulichukua hatua gani baada kujua?
Nini kilifanya mpaka ikawa hivyo? Ulijisahau! au ilikuaje.
Tarehe kama hii mwaka fulani walikusanyika kwa ajili yetu tukijiingiza kifungoni, ingawa sijui hata kama leo yupo aliyeiweka kwenye kumbukumbu. Hadi naandika hapa, ni mengi tumepitishana. Uzi tayari
Hili suala sijawahi kujua linatokana na nini, wataalamu watatuambia..
Pale inapotokea unamuogopa tuu mnyama (wanyama wadogo) au mdudu. Yaan ukiulizwa sababu za kumuogopa hata huna jibu...
Mimi ni shabiki mkubwa wa wanachama wa hili jukwaa. Muda mwingi nawasoma kimya kimya....
Sasa fikiria ile couple inayotikisa mtaa...inaweza kuwepo hapa JF sema tu baadhi ya wanachama...
Mood imenitoka baada ya kusubiri dili fulani la pesa ila dakika za mwisho mambo yakaenda tofauti
Vipi wewe mdau kipi kinakutoaga kwenye mood karibu tushee experience
Hivi umeshawahi kuwa kwenye foleni ya magari hapa dar? Wale wenye magari ya v8, ranger rover, BMW.. Hao utaona wakiuziwa magazeti
Wenye tax, Toyota na Noah hao utaona wakiuziwa mahindi ya...
Moja kwa moja.
Sio kwamba namchukia kufikia levo hiyo hapana , ila ninakaugonjwa Cha kupenda kuwakomesha Wazembe , Wajinga , Wahalifu , Wapumbavu na wengine mfano wao.
Pamoja na Mgerasi Busu la...
Mzuka Wana jamvi, yerereeeeeerreereerreereyere!!!!!
Bila kupoteza muda.
Baadhi ya Nicknames
@Magahayo = The Mongolian Savage, Mgerasi , Semenya aka Mabange
GENTAMYCINE = Popoma
Mshana Jr =...
Ukichunguza mitambo yote iliyopo duniani, utagundua imetengenezwa na wazungu, wachina, wajapani n.k
Sasa najiuliza, sisi waafrika pamoja na ndugu zetu waarabu, tumetengeneza mitambo ipi hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.