JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nijuze elimu yako ya kidunia na kiimani plz
5 Reactions
200 Replies
15K Views
Hey kipanga wenu hapa huku yues nimefanikiwa kuwa mfanyakazi bora kwenye kampuni yetu nimefanikiwa kuchukua Tuzo ya all year performance trophy winner niliokuwa nashinda nao nimewagaragaza kupita...
1 Reactions
20 Replies
736 Views
Kheri iwe pamoja nanyi ndugu zangu! Mimi ni kijana Mwenye umri 20s nina ndoto na nia ya kuwa Tajiri(Financialy), Nahitaji kuwa Tajiri yaani kuwa na Pesa ndio Furaha yangu....sihitaji kingine zaidi...
2 Reactions
85 Replies
11K Views
Hivi karibuni kwenye mijadala ya harusi, gumzo limekuwa kadi za mchango. Ukitazama kadi, single unachangia elfu 50, double elfu 90. Hapo mtu anajisikia kama amenunua Tiketi ya Mechi fulani, kumbe...
10 Reactions
101 Replies
3K Views
Hivi Idris milioni 500 alikula na nani? Mbona humu mtaani tunamuona swaga zake kama za usawa wetu wa kushindia karubagia na kachumbari
3 Reactions
14 Replies
983 Views
Heshima kwenu wana jf Niende moja kwa moja kwenye mada. Kwa walio zaliwa mwezi bora na mzuri kuliko miezi yote mwezi wenye bahati katika maisha, mwezi maalum kwa watu wasio na makuu na watu,mwezi...
11 Reactions
198 Replies
25K Views
Baba kaenda kazini, alisema akirudi atarudi na zawadi yangu. Kikubwa ni kazi hata kama inakubidi kujitoa akili. Neno moja kwa Mpambanaji
3 Reactions
10 Replies
589 Views
Malaya Mwanamke aliekua na mwanaume zaidi ya mmoja Changudoa Wale wanaojipanga barabarani Kwa mafungu, buku 5 unapiga Kahaba Wale wanaojiuza na kupost video zao kwenye Mitandao bila kuficha...
3 Reactions
7 Replies
421 Views
Watu wa Mikoani mtuache kidogo kwanza. Kwanza Tunapozungumzia Dar es salaamu, mjue tunazungumzia sehemu mbili tofauti. 1 - USWAZI na 2 - USHUANI. Binafsi kwangu Dar es salaam halisi ni USWAZI...
1 Reactions
4 Replies
466 Views
Wakuu nahitaji kuoa kwa sasa, kutokana na skendo zinazo endelea mitaani, kwamba yapo majina ambayo hayajatulia katika mapenzi, mfano Mwajuma, Asha Mapepe, Marry, Chausiku na mengineyo, imenifanya...
1 Reactions
40 Replies
1K Views
Yule mshindi wa shindano la Bongo star search (BSS) mwaka 2009, PASCAL CASSIANO kwa sasa Account yake imeisha na kubakiza hela ya kitabu tu (kama Tsh. 3000), watu wa karibu wa msanii huyo...
5 Reactions
55 Replies
19K Views
Daaah inasikitisha
5 Reactions
15 Replies
666 Views
Mimi nitakuwa mama mchungaji,nipo serious na hili tafadhali.... Ili nisiwakere mtakuwa mnanipangia nini Cha kuhubiri sikuhiyo ...ilimradi nanyi msinikere,mkileta mambo meusi naharibu🤒 Kanisa...
12 Reactions
142 Replies
5K Views
Mtoto anapokua mchanga ananyonya sana na kukesha usiku, inafikia hatua mama anaumwa hadi kiuno. Kama wanaume wangekua na maziwa, wangesaidiana katika kulea na kunyonyesha mtoto. Mambo yangekua...
3 Reactions
47 Replies
1K Views
Siwaoni tena ITV 😔😔😔😔😔 Nisha bila Mizengwe yanakuwa magumu sana aisee!! Wapo wapi hawa kwa Sasa na muda gani?!!!
1 Reactions
6 Replies
332 Views
Wakulungwa mshafika humo hapo Dom enzi hizo, Shilam Disco ilikuwa balaa la mjini. Ilikua dakika mbili tu toka home kufika mle, tumecheza sana break dance mle ndani. Na wale mabinti ukiwakuta mle...
0 Reactions
0 Replies
203 Views
Mapenzi na kubeti yote inatumia hela, lakini cjajua ipi bora kuliko kingine, mie mwenzenu na afadhalisha kubeti kuliko mapenzi sijui nyie.
3 Reactions
30 Replies
1K Views
unajua wanawake baadhi yao ni vilaza sana if we click we click if we don't we won't Kuna siku nipo kwenye Coster Naelekea Zangu Tunduma Akaja Mdada mmoj Mweupe Kavaa Head phone Maskion Kaja...
57 Reactions
212 Replies
8K Views
Ukimaliza kunyoa uosha kichwa na maji yenye chumvi
4 Reactions
5 Replies
427 Views
Back
Top Bottom