JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Eti wakuu kwanini watu wafupi huwa wanakua na sauti ndogo Mfano Yericko Nyerere Steve Nyerere
1 Reactions
9 Replies
559 Views
Wanandugu, Mimi huwa naenda pale Uchumi siku za weekend kununua mahitaji kadha wa kadha. Lakini kuna katabia pale ambacho huwa kinanikera sana. Mara nyingi wale cashier wao hawana chenji ndogo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu hali siyo poa, hali siyo safi, hali si nzuri kabisa, katika halakati za kufukuza shilingi leo najihisi kuumwa umwa kabisa. Dar es salaam mateso tupu kwa kweli, mwakani mkisikia nipo kwa...
2 Reactions
0 Replies
150 Views
Wakuu kwema. Mi sio mdau sana wa kilevi. Ila kutokana na matatizo, upweke na stress zilizoniandama hivi karibuni nimeona hakuna jinsi. Nilianza na St. Ann, Dompo ila izo uwa nagusa tu kidogo...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Mzuka wanajamvi Mimi sinaga bahati kabisa. Tangu outbreak wa hili gonjwa hatarii nimekuwa kwa maksud nashindilia na kubughia minofu na supu ya popo mfululizo lakini wapi ndio kwanza afya yangu...
7 Reactions
39 Replies
6K Views
1. Post haihusu mapenzi wala mahusiano anaipeleka jukwaa la MMU. Basi tu ili mradi watu waisome na wamuone. 2. Anapenda kuzua ubishi kwenye thread za watu kwa jambo lisilo na ubishi ili mradi...
14 Reactions
170 Replies
19K Views
Hahaha hahah Nimekua nikianguaga kicheko sana nikiona kuwa **** mchizi umu anajitia ujaja akijiongeza kwa watoto wa kike ambao kimsingi huwa sanalinga sana humu kwakuwa tu atuna access ya kuwaona...
31 Reactions
310 Replies
31K Views
Dar es salaam ni Town City pekee nchini kwetu ambapo unaweza kukutana na watu wa kila aina, asili na tabia tofautitofauti. Hapa bwana unaweza kumtongoza mwanamke leo, na mkamalizana leoleo bila...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Pamoja na kua na vigezo, ila muonekano wangu ulifanya mkuu wa panel awe mpole sana na kuonesha kuvutiwa na mimi, nilipata kazi kirahisi sana. Baada ya kuingia kazini, nikawa namkwesikutaka ku...
6 Reactions
21 Replies
927 Views
Kuna wakati mji wa Dar es salaam ulikuwa wenye rotuba for "DREAMERS", sasa hivi ni mji wa "MAKERS" Kuna wakati vijana kutoka Kigoma walidandia treni kuja Dar, atagongea pa kulala, baada ya...
6 Reactions
20 Replies
991 Views
Serious kabisa nitumie njiia Gani kupata jimama la kizungu hata 50's Six part na fluent English Tayari ipo
7 Reactions
111 Replies
3K Views
Trafiki alipolisimamisha gari, alimkuta dereva yupo sawa kila sekta: bima ilikuwa halali, mzigo ulikuwa na stakabadhi kamili, leseni ilikuwa bado hai, na matairi yalikuwa mazima bila tatizo. Baada...
1 Reactions
5 Replies
501 Views
Check hii mgoma yote tumeandaliwa mtu nne tu!
0 Reactions
0 Replies
217 Views
Mchanganyiko wa Kitunguu Maji, Kitunguu Swaumu, Tangawizi, Limao, Asali kisha vyote unachanganyia Maji ya Moto.
1 Reactions
7 Replies
640 Views
🗣️"JAMAA ANAJIKUUUTA MWAMBA, WAKATI TUMEMUONA HAPA TANGU ANATAABIKA TUNASHINDIA NAE VISHETI KIJIWENI"
1 Reactions
2 Replies
259 Views
Hapa nilikua naangalia mpira Swansea City alikua anacheza na Nottingham Forest, mpaka dakika 90 Nottingham alikua anaongoza goli 2 kwa 1, zikaongezwa dakika 5 tu zilizopelekea Swansea City...
3 Reactions
2 Replies
442 Views
Back
Top Bottom