Ukienda bar ukawakuta wachaga na wasukuma washamba ujue unaweza kuishia kuwa na stress za kufa mtu!
Wachaga watakuwa wanapiga makelele na kujisifu kuwa wana pesa wakati wasukuma nao watakuwa...
Hivi ni kwa nini kale ka umri ka kuolewa kakianza kuwaacha acha kuwapita huwa mnamtumainia sana mungu.
Yaani hata post zenu kwenye mitandao ya kijamii huwa ni za kimungu mungu. Hivi ni kwa nini?
Mwanamke anaandika uzi kwamba anahitaji mume ili aolewe chaajabu unamfata inbox anaaza pozi nyingi.
Unaanza kumtongoza tena sasa chakushangaza apa mtu unataka mume inakuwaje tena ubembelezwa...
Imekuwa ni mara kadhaa imesikika eneo la UVINZA limekuwa likitajwa sana na makundi kadhaa ya watu hasa vijana mara utasikia "jana nilizama uvinza" au "hata iweje mimi siwezi kwenda uvinza" sasa...
Waungwana mpo..!
Kwa heshima na taadhima ninasimama mbele yenu ninayo habari njema kwamba nikiwa usingizini usiku huu nimeoteshwa dawa inayotibu magonjwa yote (kama alivyooteshwaga babu wa...
Nimekuwa nikifanya utafiti kwa miaka miwili sasa juu ya tabia za wana JF kwa kutumia aina za avatar wanazotumia. Mpaka sasa nimekutana na members zaidi ya 30 humu.
Kiukweli avatar wanazopendelea...
Habari wana chit-chat.
Huu Uzi ni maalum kwa kupotosha methali.
-samaki mkunje Hadi akojoe.
-mficha uchi ujue kachoka kutoka..wa
-ngoma ikivuma sana viziwi watasikia na kuanza kucheza.
-Hamadi...
Maisha club toka imehamia Mwenge imekuwa kama pub flani ya kishamba sana.
You can't believe wana kaka kamoja kimbamba keupe yani eti ndio official dj wao kinajua tu nyimbo za kina mario na aslay...
Wanajf mliopo Dar na viunga vyake,wiki hii hasa kesho nitakuwa safarini kuja Dar kwa ajili ya mapumziko
Nitapumzika siku tatu ,nategemea kuondoka jumanne kurudi Mwanza
Ambao mna fahamu hotel...
Niliwamiss Demiss miyee loooh!
Huu uzi nimeuanzisha maalumu kwa ajili ya wanajf wa Dodoma makao makuu.
Hapa tutasaidia kutaja sehemu mbalimbali kama vile;
1.Bar zinazobamba kwa sasa town...
Shida ni wakati wa kushuka>>>>>
Decrease me
Underground me
Leave me alone
Subtract me from your car
Put me down
Floor me
Remove me pls
Send me out
Chase me please
Throw me away
I stay here
Drop me...
Mmepanda Ndege yenye Uwezo wa Kubeba Abiria 270 na mara ghafla mpo Angani tena umbali wa Futi nyingi za Usawa wa Bahari halafu Abiria mkaanza Kushikwa na Matumbo ya Kuhara ambayo ni lazima tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.