makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 30,915
- 90,663
Kitu pekee ninachokipenda kwenye mabasi ya 'mwendokasi' ni kuwa ukipanda hata ukikutana na unayemjua roho haikupasuki kumlipia nauli
Wala hakuna staff, wote wanalipa nauli.Wala hakuna kuomba msaada kona.
Hakuna hyo, ni kituo to kituo.Wala hakuna kuomba msaada kona.
Hahaa... Ukikutana na mkweo halaf chenji mfukon hamna, huhofii wala niniHahahahaha. Umewaza sanaa
Teh teh teh.. Wamewaweza kichiz wale wazee wa vitongaWala hakuna staff, wote wanalipa nauli.
Hahahahaha. Umewaza sanaa
Hivi wajeda nao lazima kwa cards?Wala hakuna staff, wote wanalipa nauli.
Mimi sijawahi panda vipi sigara unaruhusiwa kuvuta? Au ni
No smoking?
Mkuu umekuwa kama madereva wa taxi.Wakikaa kwenye siti zao huwa wanaangalia makalio ya akina dada wanaopita karibu yao kwa uchu sana.Mungu "awarehemu" madereva taxi wote!Mi napendaga kuangalia zile kwapa za Dada zetu wakiwa wameshika zile bomba na mikanda ya juu
HA HA HAKauli za utalipwa huko nyuma, nimekaa vibaya subir gar isimame nikupe