Jana muda wa lunch nilikuwa city centre. Kuna mama ntilie anauza chakula kitamu sana pale city. Licha ya machalari, chapati kuku wa kienyeji na mchicha huwa ninapenda maharage yake ya nazi...
Wanawake ndio watu mnaoshinda sana jikoni.... Pale unapochemsha maziwa jikoni ni kwanini yakianza kuchemka huwa yanajaa hadi juu ya sufuria.... Mbona ukichemsha chai huwa haijai kama maziwa...
Ni hivi, jamaa ( mwanaumee wa dar) aligundua mke wake anacheat na akaamua kumfukuza. Mwanamke akawa mpole na kuomba msamaha huku akimpiga. Mwisho wa siku akamfukuza mwanamke kwa matusi ya ajabu (...
Mfumo wa uendeshaji wa shughuli za shule upo tayari kwa anae hitaji tuwasiliane umetengenezwa from the scratch pia napokea oda za kutengeneza mifumo mbali mbali kutokana na mahutajii ya...
Natumai u mzima wa afya kabisa pamoja na wote wanaokuhusu
Kama kweli yaliyomo yamo kupitia threads zako basi nahitimisha kuwa Wewe utakuwa Ni Mama bora kabisa hasa kwa mabinti zako👏👏👏👏👏
Lengo la...
Sijawahi kuona kipindi ambacho namba za magari zinakimbia kama wakati huu na huku mitaani kukiwa na malalamiko yakuwa vyuma vimekaza!
Miaka ya nyuma number A to B ilitumia more than 10 years but...
eeebanaaae!! ama hakika warembo wengi wanakuja PM wakiniambia wanapenda Jinalangu mazeee,.
duuuh! kuna demu mmoja hivi eti ananiambia anapenda niwe rafiki yake tuu lakini tusiwe na uhusiano wa...
Rafiki zangu wapenzi, leo sitakuwa nanyi, napanda Mlimani kufanya Meditation ama kwa Kiswahili huitwa TAHAJUDI au TAFAKURI KINA (deep thinking).
Kupitia meditation, nayarudia mapito yangu yote na...
Habari zenu wakubwa wa jukwaa kubwa hili la kijamii tz na Afrika Mashariki kwa ujumla.
Ninaimani humu ndani kuna kuna watu kutoka pande mbalimbali, basi wale wazee wenye machimbo pendwa ndani ya...
Habari zenu wadau...,Lengo la huu uzi nikujulishana na kushare the Best ringtone,au ka (Wimbo) kwenye simu, uliyoiseti ambapo ukipigiwa unatamani uache kawimbo kaite kwa muda kidogo then ndo...
Ama hakika mimi ndimi.
Naitwa kipepe the GIANT!
Ni ukweli nilishawahi kuweka thread kua natafuta mwanamke, lakini nimeshampata niliyemtaka(MATILDA), Ndio maana mnaona siwajibu.
Uongozi wa JF...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.