Jaribu kufikiria kama ungekuwa unaishi milele, je, usingeomba poo wewe mwenyewe na kuomba kupumzishwa after lets say 1000yrs of life, tuwe tu wakweli...
Nliwahi kuskia kuwa kuna kitengo maalum huko vituoni, panaitwa Gereji [emoji16][emoji16], naskia huko ukiingizwa wanatia mashuti ya hatari ni lazima useme ukweli tu. yule jamaa wa magunia ya mkaa...
[emoji848]Enzi za Jakaya Mrisho Kikwete weekend kama hii.
Muda kama huu unakuta upo zako nyumbani. Ghafla jamaa anakupigia simu. [emoji848]
"Kaka upo wapi? njoo Maisha club, beib yangu imekuja...
Mzuqa!
Tuendelee tu kumshukuru Mungu na kujivunia kuzaliwa mwafrika. Ni jambo jema na la kujivunia. Laiti tungezaliwa kama wao ama kukulia toka utotoni kwenye Jamii yao tungebaki kuwa mazoba...
Habari za siku wakuu.
Nipo na huyu binti hapa geto kwangu ni mwezi wa 2 sasa tangu nihamie hapa ila huyu bibie anadai ameyachoka haya maisha hapa geto
Je nifanyaje wakuu ili huyu mrembo wangu...
Umeenda semina Njombe, una ndugu yako kule. Unamtaarifu unakuja kumtembelea. Anakuambia karibu sana. Anakuelekeza panda daladala za Ramadhani shukia kwa Sanga. Unashuka stendi unamkuta ndugu yako...
Ebwana jana Alhamisi mida ya saa7 mchana nilikatiza maendeo ya Tandale nikiwa naelekea Sinza ebwana nilikutana na lundo la watu wasiopungua 30 wakiwa katikati ya barabara wakidai eti wamefiwa...
Habarini wanazengo
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea niko njia pandaaah!!
Nimefanikiwa kumaliza diploma in procurement and supply management nimejaribu kutafuta kazi sijapata mpaka sasa...
Huu mpambano mpaka sasa ni mkali kweli kweli kabla watu hawajarejea toka china wengine wakakunwa kunakowasha
Unaweka wapi mzigo Je kuna Direct win hapa au Both team to score, vipi kuhusu Handcap...
Hello folks, on this thread you can write any rumor you've heard at all times, of any aspect...Just start with "Rumor has it...."
Eg. Rumor has it that Dudu Baya is gay..
Habarini ndg watumiaji wa jf naamini nyote ni wazima umu
Kuna watu wana QUOTE Uzi mrefu ambapo inatuchosha sisi wanachama wa kusoma comment kama vp admin tafuta mbinu ili mtu ashindwe ku QUOTE...
Mjumbe wa nyumba 10 mtaa fulani katusimulia kuwa kaletewa kesi kuwa jamaa kaoa, ila kaenda gesti na mchepuko siku ya krismas. Baada kumaliza yao akaondoka lakini kasahau simu ?. Muhudumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.