Hivi ni kwanini eneo la UVINZA limejipatia umaarufu sana?

kALEnga kidamali

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
542
733
Imekuwa ni mara kadhaa imesikika eneo la UVINZA limekuwa likitajwa sana na makundi kadhaa ya watu hasa vijana mara utasikia "jana nilizama uvinza" au "hata iweje mimi siwezi kwenda uvinza" sasa wana jf naomba nijuzwe huko UVINZA imekuwaje kunatajwa sana, je kuna bwawa kubwa sana linalopenndwa sana na vijana?
 
Uvinza yenyewe paligunduliwa CHUMVI/SALT/MUNYU/MILHI.

na katik mwili wa mwanamke Kuna eneo lina ladha Kama hiyo.

That is why we call it UVINZA.
 
Imekuwa ni mara kadhaa imesikika eneo la UVINZA limekuwa likitajwa sana na makundi kadhaa ya watu hasa vijana mara utasikia "jana nilizama uvinza" au "hata iweje mimi siwezi kwenda uvinza" sasa wana jf naomba nijuzwe huko UVINZA imekuwaje kunatajwa sana, je kuna bwawa kubwa sana linalopenndwa sana na vijana?
Ukikua utapajua Uvinza huko Kigoma, usiwe na haraka kwa hilo.

Watu tumezijua sehemu nyingi baada ya kuwa wakubwa.
 
Back
Top Bottom