Jibu lako nitalithamini mno katika hili Swali langu muhimu ambalo nakuuliza hapa tafadhali........

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
36,533
Points
2,000

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
36,533 2,000
Mmepanda Ndege yenye Uwezo wa Kubeba Abiria 270 na mara ghafla mpo Angani tena umbali wa Futi nyingi za Usawa wa Bahari halafu Abiria mkaanza Kushikwa na Matumbo ya Kuhara ambayo ni lazima tu yatakufanya ukitafute Choo kilipo na Wote tunajua katika Ndege kuna Choo Kimoja tu je ikitokea Abiria wote mmeshikwa na Haja Suluhisho humo litakuwaje? Na kumbukeni kuna wengine wakishikwa na Haja ( tendo la Kunya / Kuharisha ) huwa wanachukua hata dakika 15 hadi 45 kumaliza.

Karibuni.
 
SaidAlly

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2011
Messages
2,257
Points
2,000

SaidAlly

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2011
2,257 2,000
Kwa kua ni abiria wote, hiyo sasa ni dharura na suala la ustaarabu itabidi liwekwe pembeni na kwakua kifo cha wengi ni harusi, basi hakuna atakae mshangaa mwenzie. Itabidi hapo hapo ulipo na kwa nafasi iliyopo na mazingira yanayoruhusu mfanye mambo. Kama una mfuko haya, kama kwenye floor haya, kama juu ya kiti haya. Ustaarabu utafuata mkiatua salama, hapo itabidi mpiganie uhai kwanza.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
36,533
Points
2,000

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
36,533 2,000
Kwa kua ni abiria wote, hiyo sasa ni dharura na suala la ustaarabu itabidi liwekwe pembeni na kwakua kifo cha wengi ni harusi, basi hakuna atakae mshangaa mwenzie. Itabidi hapo hapo ulipo na kwa nafasi iliyopo na mazingira yanayoruhusu mfanye mambo. Kama una mfuko haya, kama kwenye floor haya, kama juu ya kiti haya. Ustaarabu utafuata mkiatua salama, hapo itabidi mpiganie uhai kwanza.
Asante kwa Kunianzisha vyema Siku yangu ya leo Jumapili kwa Kunivunja Mbavu zangu kwa Kucheka kiasi hiki Kiongozi.
 
number41

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
1,972
Points
2,000

number41

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
1,972 2,000
Ingekuwa ni Wewe ungeweza Kulifanya hilo?
Mkuu kwenye swala la ugonjwa ata kama angekua rais wa korea kaskazini angekunya hivi ushawahi tembelea kambi za kipindu pindu mkuu sema haya mazungumzo tu ingekua kwel ningetamani nikuone ungefanyeje achana na kuhara ndugu mtu anatamani afike nyumbani lkn mwenyewe anaomba kwenda choo cha kulipia tena siku hiyo anakiona kizuri sana kinanukia acha kitu tumbo la kuhara mkuu
 
Icon Special

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2019
Messages
254
Points
250

Icon Special

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2019
254 250
Hapo kutokana na Hali hio, wenye kuharisha wataharisha na wenye kuweza kuvumilia pengine pia watavumilia ... ila hapo ni lazima rubani aombe kutua airport iliyo Kareeb na sehemu walipo Kwa dharura ili watu wapatiwe huduma ya chanjo/matibabu stahiki kulingana na tatizo lililopo/tatizo lililowapata abiria wake Katika chombo anachokiongoza
 
DAN LOKOMOTIVE

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Messages
871
Points
1,000

DAN LOKOMOTIVE

JF-Expert Member
Joined Dec 16, 2016
871 1,000
Mmepanda Ndege yenye Uwezo wa Kubeba Abiria 270 na mara ghafla mpo Angani tena umbali wa Futi nyingi za Usawa wa Bahari halafu Abiria mkaanza Kushikwa na Matumbo ya Kuhara ambayo ni lazima tu yatakufanya ukitafute Choo kilipo na Wote tunajua katika Ndege kuna Choo Kimoja tu je ikitokea Abiria wote mmeshikwa na Haja Suluhisho humo litakuwaje? Na kumbukeni kuna wengine wakishikwa na Haja ( tendo la Kunya / Kuharisha ) huwa wanachukua hata dakika 15 hadi 45 kumaliza.

Karibuni.
kama hali ni mbaya sana nachukua begi natoa nguo zote nakunya humo nasubiria foleni ikiiisha naenda kumwaga...maaana ndege nzima itakua mavi tuu maana hata atakayejinyea hatachekwa na hata kama akichekwa sio mwisho wa dunia
 
DAN LOKOMOTIVE

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Messages
871
Points
1,000

DAN LOKOMOTIVE

JF-Expert Member
Joined Dec 16, 2016
871 1,000
Kwa kua ni abiria wote, hiyo sasa ni dharura na suala la ustaarabu itabidi liwekwe pembeni na kwakua kifo cha wengi ni harusi, basi hakuna atakae mshangaa mwenzie. Itabidi hapo hapo ulipo na kwa nafasi iliyopo na mazingira yanayoruhusu mfanye mambo. Kama una mfuko haya, kama kwenye floor haya, kama juu ya kiti haya. Ustaarabu utafuata mkiatua salama, hapo itabidi mpiganie uhai kwanza.
hahahaha yaani nikivuta picha jinsi itakavokua aiseee daah mungu aepushe mbali,,,,seam kuna mafala baada ya tukio wataanza hivi mliona fulani alivofanya
 
Tony-stark

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2019
Messages
795
Points
1,000

Tony-stark

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2019
795 1,000
Suluisho
Wote mtaenda kujisaidia karibu na mlango wa ndege wa nyuma
Alafu wote mnarudi kweye siti mnafunga mikanda alafu mlango wa ndege unafunguliwa kinyesi lazima kitavutwa nje alafu mlango unafungwa tena mnaendelea hivyo hivyo mpaka ipate kiwanja cha kutua.
 
ze-dudu

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Messages
11,451
Points
2,000

ze-dudu

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2014
11,451 2,000
Mnagawana wengine wanaenda choo cha marubani wengine choo cha abiria ila sidhani kama choo ni kimoja kwa namna ndege ilivyokua na madaraja vile jamani.....sijawahi panda ndege nasuggest tu
Mmepanda Ndege yenye Uwezo wa Kubeba Abiria 270 na mara ghafla mpo Angani tena umbali wa Futi nyingi za Usawa wa Bahari halafu Abiria mkaanza Kushikwa na Matumbo ya Kuhara ambayo ni lazima tu yatakufanya ukitafute Choo kilipo na Wote tunajua katika Ndege kuna Choo Kimoja tu je ikitokea Abiria wote mmeshikwa na Haja Suluhisho humo litakuwaje? Na kumbukeni kuna wengine wakishikwa na Haja ( tendo la Kunya / Kuharisha ) huwa wanachukua hata dakika 15 hadi 45 kumaliza.

Karibuni.
 
Forum statistics

Threads 1,391,193
Members 528,375
Posts 34,075,887
Top