Mimi nitakuwa mama mchungaji,nipo serious na hili tafadhali....
Ili nisiwakere mtakuwa mnanipangia nini Cha kuhubiri sikuhiyo ...ilimradi nanyi msinikere,mkileta mambo meusi naharibu🤒
Kanisa...
Mtoto anapokua mchanga ananyonya sana na kukesha usiku, inafikia hatua mama anaumwa hadi kiuno. Kama wanaume wangekua na maziwa, wangesaidiana katika kulea na kunyonyesha mtoto. Mambo yangekua...
Wakulungwa mshafika humo hapo Dom enzi hizo,
Shilam Disco ilikuwa balaa la mjini.
Ilikua dakika mbili tu toka home kufika mle, tumecheza sana break dance mle ndani.
Na wale mabinti ukiwakuta mle...
unajua wanawake baadhi yao ni vilaza sana
if we click we click if we don't we won't
Kuna siku nipo kwenye Coster Naelekea Zangu Tunduma Akaja Mdada mmoj Mweupe Kavaa Head phone Maskion Kaja...
Kwa kawaida maisha yetu hutegemea mzunguko wa saa 24, kati ya hizo saa 12 ni usiku, leo nakuletea sehemu sita ambazo jua huwa halizamii kabisa usiku na mchana, twende pamoja.
Wakuu mi niseme tu ukweli nikikutana na binti mrembo halafu awe ame pass like a shadow huku nyuma naanza kumuonea huruma.
Naanza kumsikitia nikiwaza jinsi anavyojifiria anapokutana na wenzake...
Wasalaam.
Hii ni Kwa wanaume wenzangu japo hata akina dada,mama mnaweza toa ushauri.
Iko hivi,
Juzi, yaani jumamosi,
Nilijichanganya kwa kuhisi nimepotelewa na kifaa changu ndani cha muhimu...
Habari wadau.
Juzi niliona shati kali na suruali (jeans) poa sana kwenye akaunti moja hivi ya mfanyabiashara wa Instagram huko. Nika contact naye na nikalipa kabisa kupitia lipa namba yake...
Katika maisha ya kila siku tunayo yaishi, tunakutana na watu wa aina, asili, itikadi na tabia mbalimbali. Katika hao huwezi kukosa mmoja ambae maneno yake hukera na kukunyima amani. Binafi huwa...
Amani ya M/Mungu iwe nanyi.
Ebanae, binafsi mimi mtoa Mada najua na natambua kuwa wewe member mwenzangu wa JF mpaka kufikia hapo ulipo hakika umepitia na umeona mengi katika maisha yako, na...
My people hope mko poa,ngoja tubadilishe radha kidogo,maana ukifungua uzi huu paap Pole pole huyu hapa,ukifungua huku kampeni hii hapa,hujakaa sawa wanamtandao hawa hapa,aah ni shida!!
Aisee kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.