JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mfano unamwita Monica ye anaitikia naam hivi Ni sahihi wazee? mtoto wa kike SI inatakiwa aseme abee Mara zote. Thread tayari.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mwaka mpya wa fedha tumepelekwa mbiombio aseee na mambo yalikuwa Ni mengi bado bilabila na mother anaupiga mwingi na inavyoonekana hata bia kumbe hazitashuka Bei kumbe ile habari ya punguzo la bia...
0 Reactions
1 Replies
620 Views
Wale mademu Virungu kuomba kuomba hela sasa hivi tutawagonga mpaka Wakitaka elfu 5000 njoo uchukue maana watakata hiyo hiyo elfu 5000 mama Tanzania mbele Kwa mbele 2021
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Pombe sio supu,cheki hawa..!! Jamaa wawili walikuwa wanakunywa Bar wakaanza kuongea:- Jamaa1: Unajua mzee wangu ni Polisi? Jamaa 2: Weee kweli!? Hata mimi mzee wangu ni Polisi! Jamaa 1: John is...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
The guy ask me.. If ur wife got 1000 and u have 1000 wat could be the total!? 1000+1000=1000 nika mwambia hapana how come?? Mdau kapatia au kakosea!?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari ndugu. Poleni na majukumu ya kila siku na misukosuko ya kisiasa inayoendelea haswa kipigo cha mzee Warioba. Napenda kuwapa taarifa njema kuwa baada ya masaa machache nitasaini mkataba wa...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Leo ni siku ya kumbukizi ya kifo cha Mfalme wa Muziki wa Reggae barani Afrika, Lucky Dube. Nimejikuta nakumbuka kisa kimoja ambacho huwa nacheka na kujiona mpumbavu sana kila nikikumbuka. Enzi...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Habar wakuuuuu, Poleni na mahangaiko ya wiki ,Wakuu leo ni weekend tupeane location ya kiwanja chenye watoto classic na beer bei elekezi jijini Dar es salaam . mfano TPS BEI SIO ELEKEZI BEER...
7 Reactions
283 Replies
35K Views
Mwishoni mwa mwezi wa July nilifikwa na jambo kubwa katika maisha yangu. Ilikua ni kumpoteza mtu ambaye nilikuwa na kila sababu ya kuamka na kupambana ili aone matunda yangu siku moja. Mungu...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Yaani wake zako walikuwa mahasimu kwelikweli hadi kutishiana kuwekeana sumu na pengine walishazichapa saana mbele yako huku ukipambana kuwaamua. Leo unarudi zako home baada ya mihangaiko yako...
8 Reactions
27 Replies
3K Views
Ndo naelekea bandari ya Nakkala tayari kabisa kuanza safari ya kurejea dsm tz dua zenu ni muhimu sana ''OBRIGADDO''
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Leo nikiwa katika kuchati kwenye ma group ya whatsapp nimekutana na video ambayo imenishangaza sana. Jamaa mmoja ana jinsia ya kike (papuchi) ni muafrika Katika video hiyo wanaonekana watu kama...
1 Reactions
72 Replies
8K Views
Mwenye kujua kazi ya hivi vinyaji afunguke hapa, Kwa uelewa wangu ni vinatumika kuongeza nguvu za mwili na kufanya ujisikie fiti muda wote.Nazungumzia shark na redbull ,ila kwa zanzi najua...
3 Reactions
39 Replies
9K Views
bangi inapokutana na pombe kwenye mkutano wa hadhara... Jamaa alikua ana date na demu wa kisabato na mambo yalikua hivi. Jmaa:baby unampenda msanii gani wa kike!? Demu: me hata siwajui kabsa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
BAADA ya miaka minne ya kuajiriwa bila hata kuongezwa mshahara au hata marupurupu, Bwana Juma Hassani aliamua kwenda kwa bosi wake kulalamika. Jibu alilolipata kwa bosi wake ni kwamba, hakupewa...
2 Reactions
0 Replies
605 Views
Habari wana jukwaa. Napenda kutumia fursa hii kuuliza mawili matatu kuhusu Zanzibar. Mimi nipo Zanzibar (Unguja) kikazi kuanzia Jumapili tarehe 1 Agost hadi Ijumaa tarehe 6 Agosti. Mimi ni...
2 Reactions
3 Replies
578 Views
Wacha niwape story yangu kwanza. Nakumbuka huko Facebook nilipata mbaba mmoja hivi tukawa tunachati wee mwisho wa siku tukapanga tuonane. Basi tukatoka out tukaagiza kuku mzima ndizi tano na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wanasherehe wenzangu, Kila siku ni sherehe na kila siku ni sikukuu, maisha mafupi na huku kwenye kugida ndiyo starehe zetu. Wakuu baada ya miaka mingi ya kugida Beere! Naona sasa ni...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Eti kisa umpendi fulani na Fulani , au fulani na fulani hawakusaidii ndiyo unadhani mabaya unayoyawaza kichwani eti ndiyo yatawapata, Hamna jambo lolote baya litawatapata na wataendelea na maisha...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Inakuwaje Wanajamvi! Neno Mbususu tayari limeshaanza kuifunika papuchi humu jamvini.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom