Mozambique to Madagasca to Comorro

Duzente Siqwente

JF-Expert Member
Aug 6, 2012
265
59
Ndo naelekea bandari ya Nakkala tayari kabisa kuanza safari ya kurejea dsm tz dua zenu ni muhimu sana ''OBRIGADDO''
 
Karibu home na ulete chamaki nchanga. La sivyo uchichimama nchale, uchichimbia nchale, uchichuchumaa nchale, uchikaa nchale, uchilala nchale.
 
Mie niletee chochote tu nitapeleka pwani,
" Kilumbila Mundu cha Kumemena! "
 
hii safari mbona siielewi mkuu,yaani unatoka Msumbiji halafu Madagascar then Comorro...mwisho Dar,why not Msumbiji to Dar moja kwa moja?
 
hii safari mbona siielewi mkuu,yaani unatoka Msumbiji halafu Madagascar then Comorro...mwisho Dar,why not Msumbiji to Dar moja kwa moja?

Inawezekana anakuja na Meli ya jeshi , ndo hua zinazungukaga kiivo !
 
Napanda meli jdge ndo mana unaona mzunguko umekua mkubwa na commoro kuna ant yngu anakaa pale
 
Back
Top Bottom