First Jamiiforums Billionaire

Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,552
2,360
Habari ndugu.

Poleni na majukumu ya kila siku na misukosuko ya kisiasa inayoendelea haswa kipigo cha mzee Warioba.

Napenda kuwapa taarifa njema kuwa baada ya masaa machache nitasaini mkataba wa biashara utakaonifanya kuwa bilionea wa kwanza wa JF.

Hii ni habari njema sana kwangu na kwenu pia.

Tutaendelea kuwa pamoja.
 
Mkataba wa kifisi au kifisad? Umejuaje kuwa hakuna mabilionea wengine humu hagdi uwe wa kwanza? unapolalia wenzio ndo wameamkia hapo.
 
Habari ndugu,
Poleni na majukumu ya kila siku na misukosuko ya kisiasa inayoendelea haswa kipigo cha mzee Warioba. Napenda kuwapa taarifa njema kuwa baada ya masaa machache nitasaini mkataba wa biashara utakaonifanya kuwa bilionea wa kwanza wa JF. Hii ni habari njema sana kwangu na kwenu pia. Tutendelea kuwa pamoja.

Acconut ya kila mwanchama wa JF unajua ina shilingi ngapi hadi useme wewe ni billionea wa kwanza?
 
Mambo ya papuuchii hayooo loh

napita tu wasandi wasanjuka
 
Unataka kutuambia utamzidi le bilionea baharia kubwa kubwa

Ha! ha! ha! ha! ha!

Le mashuz
 
Ukipata hayo mabilioni tustue walahoi tukupige ngeta at least tuweze kusurvive.
 
Habari ndugu,
Poleni na majukumu ya kila siku na misukosuko ya kisiasa inayoendelea haswa kipigo cha mzee Warioba. Napenda kuwapa taarifa njema kuwa baada ya masaa machache nitasaini mkataba wa biashara utakaonifanya kuwa bilionea wa kwanza wa JF. Hii ni habari njema sana kwangu na kwenu pia. Tutendelea kuwa pamoja.

LABDA uwe wa pili....mimi nipo jf tangu 2010
 
Tutaaminije? Weka jina lako kamili.

Nikimaliza mambo haya nita verify account mkuu. Worry not

wa kwanza? pole umechelewa lakini karibu tupo wazee wazima huku tokea mababu na mababu.

Aisee nimefurahi kujua mpo humu. Sio mbaya tukifahamiana mkuu

Mkuu usijali ni determination, ukiweka malengo mwakani tutakuwa wote.

Mkataba wa kifisi au kifisad?
umejuaje kuwa hakuna mabilionea wengine humu hagdi uwe wa kwanza? unapolalia wenzio ndo wameamkia hapo.

Zumbe kama yupo bilionea mwingine nifahamishe. Hadi nitakapowajua wengine kwa sasa mimi ni bilionea wa kwanza JF

Acconut ya kila mwanchama wa JF unajua ina shilingi ngapi hadi useme wewe ni billionea wa kwanza?

Kama unamjua mwingine nitajie ila kwasasa mimi ndio bilionea wa kwanza JF

unataka kutuambia utamzidi le bilionea baharia kubwa kubwa

ha! ha! ha! ha! ha!

le mashuz

Aisee the king of social media bado hajawa declared bilionea. Namtakia kila heri kwenye safari yake.

Ukipata hayo mabilioni tustue walahoi tukupige ngeta at least tuweze kusurvive.

Mkuu uwezekano wa kupigwa ngeta ulimalizika toka nilipofikia kuwa milionea miaka tisa iliyopita. Ninatumia zaidi ya milioni sita kwa mwezi kwa ulinzi binafsi ikifikia mahala wapiga ngeta wanaweza kunisogelea itabidi nijitizame upya.

LABDA uwe wa pili....mimi nipo jf tangu 2010

Hongera mkuu, watu hawajui tu raha ya kuwa bilionea. Leo nasikia raha sana.
hahH ana utani huyu hawezi le mutuz u know

Mutuz bado hajafikia huku kwentu
 
usinisahau katika ufalme wa mapato na matumizi hasa kipenga cha mwisho japo kialmasi tu kinanitosha

Back
Top Bottom