JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nashauri tu katika harakati za kupungumza maambukizi ya Ukimwi kuwe na Kampeni hii. Nmejifunza kwa alichosema Rais wa Usa Joe Biden kuwa kila atakayechanjwa atalipwa usd 100. Nikawaza na sisi...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Hebu kila mmoja atoe mawazo yake kama familia yake itamuuliza ni kitu gani atakifurahia kama famillia yake itampa support ili kutimiza malengo yake Mimi ningeomba mtaji wa biashara na hela ya...
0 Reactions
3 Replies
595 Views
1. Ukimwambia mambo anaitika kwa herufi P na K 2. Ukimuomba picha anakwambia «wewe mbona haujatuma?» 3. Ukiuliza maswali matatu kwa pamoja anajibu moja tu! mengine uvivu kutype.. 4. Ukimwambia...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Nawasalimu wana JF wote Sasa bhana juzi jtatu nilienda zangu kununua sweta kwenye pitapita nikazoom kiatu nikaikubali, nikapatania nikachukua kwa elfu 15. Leo sinakanyata nayo kichele kwenye...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Nilikua nakunywa bia kwa baa.Nikamwona msichana mrembo nikamnunulia kinywaji mvinyo. Nilikua nimeongea na mhudumu aniangalilia kinywaji nilienda msalani. Niliporudi niliuliza mhudumu bila huyo...
0 Reactions
3 Replies
842 Views
UBISHI SI MZURI. Waziri wa ufugaji katembelea mradi wa NYUKI, alipofika getini Mlinzi akamwambia haruhusiwi mtu kuingia kwa sasa. Waziri kwa hasira akamjibu Mlinzi kwani hujui mimi ni nani huku...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
Huyu Mzee wa utopolo kawa maarufu kuliko timu yake nimeona video yake akikatiza mitaa ya Dar huku akizomewa na watu wanaosadikiwa kuwa ni wapenzi wa timu mbili kubwa hapa nchini. Kutokana na...
3 Reactions
2 Replies
992 Views
Nimeshawishika kuandika hii baada ya kuona uzi wa ndugu mmoja hivi aliekua akilalamika baada ya watu kumtenga punde tu baada ya kusimamishwa kazi. But unfortunately nimesahau jina lake mnaweza...
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Kila unavyokula ndipo unatafuta ama unaongeza nguvu ya kukufikisha uzeeni. Ushauri: Kwa wale wote wasioupenda uzee wanashauriwa kuacha kula.
0 Reactions
1 Replies
562 Views
Jamaa flani alikuwa amelala na mkewe. Mara akamuona mtu amesimama kitandani. Jamaa akafoka, "Toka hapa, we ni nani mpaka unakuja kitandani mwangu?" Yule mtu akajibu, "Mi ni malaika na hapa sio...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello bestito Chachu Ombara hongera kwa kumbukizi ya kuzaliwa kwako leo. Nimekumiso sana nakutakia heri na fanaka kwenye kufurahia siku hii muhimu kwako kwani ni ya kipekee inakuongezea miaka...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Endapo hujakutana na taarifa ya kifo unaweza kukaa siku ngapi usikifikirie kwa namna yoyote hii ishu inayoitwa kifo.mimi hazipiti siku mbili nijitazame na kujiambia hivi Kuna sekunde na dakika na...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Ni kutafuta kilakitu.... Utafute mke, pesa, amani, usingizi na bado utafute ufalme wa mbinguni. Hakika tutaingia mbinguni tukiwa tumechoka sana wallah..😎
18 Reactions
49 Replies
4K Views
Wanajamii habarini Naombeni ushauri Kuna Dada huku JF kaniomba nimtumie nauli anadai ametokea kunipenda sana na huwa haishi kuniota ndotoni ila anasema nimtumie nauli 1 million hajawai panda...
1 Reactions
55 Replies
3K Views
Kwanza ikifika asubuhi anatoa nguo zake nimnyooshe ili avae kwenda kazini na kinacho niuma zaidi wamekua na desturi ya kwenda kuoga bafuni (public bathroom) na mkewe (dada yangu), na wanapokua...
12 Reactions
37 Replies
3K Views
Sielewi shughuli zingine zina nini ..lakini Mtu akijiingiza Tu huko na tabia inabadilika moja kwa moja ...harusi tena kuwa Yule wa zamani... Hii kazi ya udalali hapa Dar ..mtu akishajiingiza Tu...
12 Reactions
43 Replies
5K Views
Je, ukiachana na pesa ni kitu gani kingine huna? Ukiachana na pesa ni kitu gani kingine unachokitafuta? Ukiachana na pesa ni kitu gani kingine kinachokupa stress? Ukiachana na pesa ni kitu gani...
0 Reactions
4 Replies
537 Views
Hivi hapa duniani unadhani ni kitu gani kilitakiwa kiwe bure ila ndo kinauzwa lakini hakistahiki kuuzwa. Kinatakiwa kitolewe bure kwa kila anaehitaji?
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Mara Paa!"Chanjo ya Corona inaongeza nguvu za kiume" yaani yote itaishia Dar, mikoani mtasubiri batch ya pili
1 Reactions
1 Replies
811 Views
Back
Top Bottom