Naacha Beers, wataalamu wa Ku-MIX cocktails aka Wazee wa MAABARA msaada

kluger

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
2,093
1,894
Habari wanasherehe wenzangu,

Kila siku ni sherehe na kila siku ni sikukuu, maisha mafupi na huku kwenye kugida ndiyo starehe zetu.

Wakuu baada ya miaka mingi ya kugida Beere! Naona sasa ni wakati wa kubadili chaka!

Bia nimekuwa ziwezi kunywa chini ya 7, ili gari liwake! Sasa hii imekuwa ikinisababishia maumivu makali ya hangover ahsubuhi yake.
Sijali kuhusu gharama za kunywa bia 12 kwa mara moja

Sasa kwenu wataalamu wa COCKTAILS , msaada wa ipi ina taste nzuri na alcohol percent ya maana.

Twende sawa wakuu.

Note: Picha kwa hisani za wadau humu Jamiiforum/uzi wa mshana jr

JamiiForums616627192.jpg

View attachment 1876841
 
Karib kwenye ulimwengu wetu...bia ni za startups

Kwanza znakupa risk ya diabetes.ma pressure na overweight

Vitu zetu...ahhhhhh...swafi kabisa...mfano mi natumia sana red label.....sometimes kvant...or even konyag.....napenda vitu simple..namix red label/kvant + bitter lemon or sometime juice....or huwa napiga kavu na ice cubes na limao...hapo murua kabisa...haruf ya red inanikonga sana.....
 
Guinness ndogo 1(nyeusi) Valeur ndogo 1 yan ukiwa na 5k unalala vizuri kabisa hakuna hangover hata tone kesho
 
Habari wanasherehe wenzangu,

Kila siku ni sherehe na kila siku ni sikukuu, maisha mafupi na huku kwenye kugida ndiyo starehe zetu.

Wakuu baada ya miaka mingi ya kugida Beere! Naona sasa ni wakati wa kubadili chaka!

Bia nimekuwa ziwezi kunywa chini ya 7, ili gari liwake! Sasa hii imekuwa ikinisababishia maumivu makali ya hangover ahsubuhi yake.
Sijali kuhusu gharama za kunywa bia 12 kwa mara moja

Sasa kwenu wataalamu wa COCKTAILS , msaada wa ipi ina taste nzuri na alcohol percent ya maana.

Twende sawa wakuu.

Note: Picha kwa hisani za wadau humu Jamiiforum/uzi wa mshana jr

View attachment 1876818
View attachment 1876841
Try this
Kilimanjaro mixer Nyagi...No hangover
 
Back
Top Bottom