Ujana/Uvulana na kumbukumbu za kuchekesha kwenye Mapenzi; Ukikumbuka nini unajicheka?

Wildlifer

JF-Expert Member
May 12, 2021
1,883
5,186
Leo ni siku ya kumbukizi ya kifo cha Mfalme wa Muziki wa Reggae barani Afrika, Lucky Dube. Nimejikuta nakumbuka kisa kimoja ambacho huwa nacheka na kujiona mpumbavu sana kila nikikumbuka.

Enzi za uvulana, niliwahi kuwa na uhusiano na binti mmoja. Kwa kweli nilikuwa nampenda sana (at least kwa fikra za ujana wakati huo). Baba yake alihamishwa kikazi, na binti naye ikabidi ahame shule.

Siku moja kabla hajaondoka, nikajikunja kuandika Barua ya kuagana na kukumbukana. Jambo moja nililiweka kwenye ile barua hadi leo nikikumbuka huwa najicheka sana.

Niliweka dedication ya wimbo wa Remember Me ya Lucky Dube. Ile title ya Remember Me, ndio ilinifanya nione chaguo sahihi, maana kwa kiingereza changu cha Percentage moja wakati huo, iliniambia Maana yake 'Nikumbuke mimi'.

Nilikuja kufahamu maana ya huu wimbo niko kidato cha nne. Ni wimbo ambao msimuliaji anamuimbia baba yake aliyeikimbia familia. Huwa kila nikiusikiliza huu wimbo, basi nakumbuka, 'blanda' hii niliyofanya.

Ulishawahi fanya 'blanda' enzi za ujana/uvulana kwenye mapenzi ambao ukikumbuka, unajiona ulikuwa mpumbavu sana?

Screenshot_20210803-212937.jpg
 
Siku moja alinikuta nakula Pera,akaniomba nikampa lililokuwa mfukoni.Akasema Pera tamu sn umetoa wapi?Nikamwelekeza nilipochuma

Kesho yake ilipofika jioni akaniambia twende tukachume mapera.Tulipokaribia kufika kwenye ule mpera likanijia wazo,alikuwa amevaa sketi,tukafika nikamwambia asee me najisikia kizunguzungu siwezi kupanda leo,akanijibu mbn mpera wenyewe ni rahisi Tu kupanda wacha Mimi nipande..nikasema kimoyomoyo wazo langu limeshatimia.akapanda juu ya mtu Mimi namwelekeza mapera yaliyoiva yalipo..Kwa kweli nilikuwa nafaidi sn kuangalia mbususu ilivyovimba

Ikawa ndiyo Tabia yetu ikifika jioni tunatoka class na nguo za shule tunaenda kuchuma mapera na tukifika namwambia Mimi mwoga wa kupanda miti ninakuwa na kizunguzungu..siku moja akanistukia bwana.Alikuwa ananiuliza nielekeze lingine lililoiva liko wapi nikawa simjibu.Akainamisha kichwa chini kuniangalia huku ananiita jina langu..salaaale.. Mzee Baba nilikuwa nimeganda hata simsikii macho yalikuwa juu yanaangalia pachupachu yake

Akashuka chini bila kunisemesha akasepa kwao.kesho yake nikaletewa barua kubwa ameandika 'kuanzia leo Mimi na wewe basi,sikutaki tena wewe muhuni Una Tabia mbaya'.Ilikuwa tupo la Saba enzi,Kwa hiyo aliniandikia barua ya kuniacha hata kabla sijala mzigo..mapenzi ya utoto Raha sn.Siku moja nilimkumbusha hili tukio tukaishia kucheka Tu,ni mke wa mtu sasa hivi
 
. Nyakati hizo hata kuangalia tu ulikuwa unaridhika. Na mawasiliano ni barua tu. No WhatsApp!! Ujana raha sana.
 
Back
Top Bottom