Hodi Zanzibar

allesandro 2021

Senior Member
Feb 10, 2021
142
154
Habari wana jukwaa. Napenda kutumia fursa hii kuuliza mawili matatu kuhusu Zanzibar. Mimi nipo Zanzibar (Unguja) kikazi kuanzia Jumapili tarehe 1 Agost hadi Ijumaa tarehe 6 Agosti. Mimi ni mwanaume na ni mgeni kabisa hapa kisiwani.

Naomba kwa anayefahamu anijuze maeneo gani ya kujirusha jioni baada ya kazi (penye muziki,vinywaji,chakula na totoz).

Mimi nimefikia Zanzibar Beach Resort.

Ahsanteni
 
Nenda hapo ofisi ya ccm then arround saa nne utawakuta watoto wazuri sana hapo ndani na nje kuanzia wale kutoka Tunduma Bara hadi wale wa Pemba.
Kua makini kidogo wanakujaga na gia kua wanamme kutoka Bara ni mabahili sana..japo ndiyo wanaume wanaotafutwa huko Zenji.
 
Habari wana jukwaa. Napenda kutumia fursa hii kuuliza mawili matatu kuhusu Zanzibar. Mimi nipo Zanzibar (Unguja) kikazi kuanzia Jumapili tarehe 1 Agost hadi Ijumaa tarehe 6 Agosti. Mimi ni mwanaume na ni mgeni kabisa hapa kisiwani.

Naomba kwa anayefahamu anijuze maeneo gani ya kujirusha jioni baada ya kazi (penye muziki,vinywaji,chakula na totoz).

Mimi nimefikia Zanzibar Beach Resort.

Ahsanteni
Kabla ya yote unapaonaje Zanzibar beach resort (Formerly - Reef hotel) na mazingira yake au eneo la hapo Mazizini?
 
Back
Top Bottom