Huyu bwana amefagilia uchafu alionao utadhani kitu cha maana sana. Lakini kwa wenzetu kuwa mchafu sana ni mtaji kwani unakuwa umejiajiri, watu wanaingia kukuona kwa dollar. You become a private...
Yaani leo nipo kkoo katika wanawake 10 unaopishana nao basi 7 wamefungasha na wana mizigo kweli. Nini siri ya mafanikio? English figure zinaanza kupotea
Tumekubaliana aje anipikie pilau na nyama, nishanunua kila kitu hapa namsubiri mpishi afike lakini wapi.
Na anajua jana usiku sikula kabisa, huyu mdada anataka nife njaa au nipate ulcers...
Wakuu,
Itakuwa mizimu ya Oktoba 29 imeanza kuwasalimia na Polisi😌😌
Admini wa Page ya Jeshi la Polisi kajichanganya huko, kaenda kulike mambo ya fezea, mambo ya hajabu, vitu za rikiboy na genge...
Kwa siku za karibuni imejengeka kasumba ya wanawake wa Dar kwenda maeneo ya public na kutumia usafiri wa umma hali ya kuwa hawavai underwear (chupi) ambazo huwastiri. Tabia hii imekuwa kero...
It was all started at JF.. And of course PM.. Then contact exchange.. The rest ni maumivu ama experience za kuvutia!
Alinikopesha 2,000,000 kwa lazima kwa riba ya 600,000 kwa mwezi!
I paid it...
Huu uzi makhususi kwa wana Jamii forums members kujuana na mwenzake vizuri. Unacho takiwa kufanya ni kuandika siku yako ya kuzaliwa pamoja na mwezi.
Mimi, August 15.
Kama Handsome boy atatumia $1, bas mwenye sura ngumu/personal atatumia $600 hadi -800 katika huduma ili kumshawishi msupa, pia wanaume hao hutumia hadi Tani moja ya perfume na lotion ili wanukie...
Wale wafuasi wa wa Iran a.k.a wazee wa threesome, naomba tujuane ili tufurahie ushindi mkubwa ambao tumeupata Katika mtifuano wa mashariki ya kati.
Ayatollah secretarybird, nawakaribisha kwa...
1. Kukata chips Kama wanavokata wakaanga chips wanamenya kiazi wwnapiga mistari yao sijui ndo ya diagonal chap vipande vinatokea Mimi nahangaika nitaanza kukata kwenye circle Kwanza ndo circle...
Huu uzi ni maalumu kwa kujua wana JF wanatokea wapi. Comment unapotokea sisi majirani tutapita na likes.
Itasaidia pia kupeana michongo ya hapa na pale.
nianze mimi
Arusha- sanawari