JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kwema, salamu zisiwe nyingi. Twende kazi una hamu ya kitu gani leo?
12 Reactions
577 Replies
13K Views
Wakuu, baada ya ubishi mkubwa kuhusu suala la Dunia kujizungusha kwenye muhimili wake kutawala humu JF na kote vijiweni secretarybird, niliamua kufanya utafiti, ili kuwaleteeni majibu sahihi juu...
7 Reactions
34 Replies
303 Views
Unakuta kijana anaamka saa Tano aisee yani mwanaume kabisa unaamka saa Tano na unandoto siku Moja uje uoe nakwambia utalea mimba za wanaume wenzako badilika kijana In reality kwa miaka ya sasa...
8 Reactions
25 Replies
472 Views
Mimi nilikia najichukulia poa lakini kuna siku wanawake wawili walinipigania. Walipigana haswa hadi balozi alikuja kuamua na kila moja alipigana na mwenzake kwasababu wote walikua wananipenda...
9 Reactions
20 Replies
412 Views
Ni kweli maisha ni magumu lakini nini kinakupa furaha atleast. Me;
14 Reactions
170 Replies
2K Views
Ni kitu gani unapendelea sana kufanya?
6 Reactions
63 Replies
526 Views
Gari ni sanduku la mabati lenye matairi linalotembea barabarani, hii ndio maana ya neno halisi gari. Kwa mtazamo wako, gari ni nini?
2 Reactions
7 Replies
135 Views
Vibabu na vibinti Vibibi na vibenten Kwanini kila watu wasishinde mechi zao? Liability and assert!
3 Reactions
36 Replies
362 Views
Tunafaamu kifo kipo na hakiepukiki, kila mmoja ataondoka kwa wakati wake uliopangwa na mwenyezi Mungu. Leo nimekuja kumtembelea rafiki yangu mstaafu mwenye miaka inayokadiriwa 75, katika...
12 Reactions
44 Replies
419 Views
Wana bodi Kuna ule utapeli unaofanyika anakuja mtu amepaka sijui madawa sijui wanasema Anatembea na majini ila anachofanya anakuongelesha ukianza kumjibu tu unajikuta unapoteza ufahamu kiasi Cha...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nikiwa naelekea kuadhimisha kumbukumbu ya siku yangu ya kuzaliwa, leo mimi Madame B niko online muda huu hapa MMU. Naomba uniulize swali lolote kunihusu mimi, Iwe ni: Masuala ya Mahusiano, Masuala...
32 Reactions
2K Replies
211K Views
1. Mwonekano wa jiji 2. Watu ni wa aina gani 3. Biashara za mitumba zikoje 4. Hali ya hewa 5. Utapeli na wizi 6. Wanawake nk
6 Reactions
24 Replies
286 Views
Age go? no problem Imetembezwa kilometers nyingi! usijali Imetumika kama shortcut hivyo wamepita wengi.. Ufumbuzi umepatikana Imepokea kila size sasa imepwelepweta? Usihuzunike tena! Kwetu pwani...
9 Reactions
19 Replies
273 Views
Nafikiri huu sio uzi wa kwanza ila leo natoa shukurani zangu za dhati pia kwa alieanzisha JF na akatuletea mungu amuongezee akili zaidi kutoka kwa baadhi ya members humu. Akili za baadhi ya...
6 Reactions
25 Replies
363 Views
Katika hili naomba niwataje kabisa Kwa members wote hasa Seran na min -me sitaki posts zangu kuwa mnazilike, mnafanya notification dashboard yangu kujaa sana na kujaza server za JF yetu tukufu...
10 Reactions
18 Replies
230 Views
Mzuka wana jamvi ? Katika uchunguzi wangu nimegundua kuwa member ngluli wa Jf GENTAMYCINE na Rais wa Marekani Donald Trump ni watu ambao wanafanana sana tabia . 1. Wote hata uwe rafiki yake vipi...
9 Reactions
35 Replies
465 Views
Mvuta bangi alikua anaongea na mlaji miraa. Mlaji miraa akauliza mvuta bangi kama india ni mbali na tanzania. Mvuta bangi akasema ni karibu kwa sababu mkubwa wangu mhindi huja na baiskeli kila...
2 Reactions
1 Replies
115 Views
Nimekuwa nikijiuliza sana. Nikiweka vocha ya 10,000 napata 10,000 exactly. Sasa hawa makampuni ya simu wanapataje faida kama wanarudisha hela ile ile? Au kuna kitu sielewi hapa? Naomba...
4 Reactions
49 Replies
526 Views
Huwezi kuzaliwa na kuishi Ulaya au Marekani ukashindwa kujua lugha ya kihaya
1 Reactions
16 Replies
274 Views
Nimeikata mwanzo kwasababu ina baadhi ya maneno ambayo hayapendezi kusikika kwa umma All in all inanikumbusha kijana wangu moja alikua na uwezo wa kipekee, yeye alikua anauwezo wa kuelewa lugha...
0 Reactions
2 Replies
116 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…