JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Naona namna ambavyo wanadada wasiyo na makalio wanavyodharaulika mtaani. Nawaonea huruma. Wanapitia wakati mgumu sana katika maisha yao. Kwa kwali miungu iwatie nguvu. Ukiangalia kila sehemu...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Salamu kwenu ndg wanaJF, Leo nimeona niwashirikishe baadhi ya dawa za mapenzi wanazozitoa waganga wa kienyeji ili manzi flani akukubalie kinapenzi. Utafiti huu niliufanya kwa mtaalam flani.Mteja...
0 Reactions
10 Replies
42K Views
Hello guys! Ebu imagine nini kitatokea iwapo passport au hati za kusafiria zitatolewa bure kwa wananchi bila malipo yoyote?!
0 Reactions
45 Replies
3K Views
Tuambie wanadada basi mwezi huu umeambiwa mara ngapi u mzuri? Tuambie😃🥰
2 Reactions
70 Replies
2K Views
Kuna kitu nataka sema, nimekuwa najibu mada tofauti ambazo siyo zangu. Jamani siyo kusudio langu, sikujua bado najifunza kutumia jukwa hili vyema. Kuna baadhi ya watu wameniambia na nimefurahi...
10 Reactions
62 Replies
3K Views
Katika hali isiyo ya kawaida, nimejikuta nina maswali mengi sana ambayo nakosa majibu mpaka dakika hii na kila ninayemuadithia anabakia kucheka tu. Leo jioni nikiwa natazama mpira huku nachezea...
1 Reactions
37 Replies
2K Views
Hii sijui tuseme ndiyo kwenda na mabadiliko ya teknolojia ama vipi, sasa hivi wadangaji wengi wanamiliki hizi line za lipa kwa M-Pesa, kwahiyo hata kama ukitaka kumla na huna pesa taslimu...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Tuko zetu (maeneo flani hivi) leo siku ya 9 bila kuoga! Kwakweli hii hali iko kibabe zaidi, japo sijaona tatizo lolote kutokana halii hii. Je wewe umeshakaa hata 3dys? kuna tatizo lolote ulipata...
0 Reactions
18 Replies
934 Views
Simba ndiyo mnyama mkubwa kuliko wote katika jamii ya paka. Simba hupatikana Afrika na Asia, idadi yao ikitizamiwa kufikia 23000(elfu 23), huku Tanzania ikiongoza kwa kuwa na idadi ya zaidi kuliko...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Watu wengi mmekuwa mkitumia pesa nyingi kuweka bando wengine mkikosa bando mnakuwa wapweke sana leo nitakufundisha jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii bila kuwa na bando[emoji91] KUNA NJIA TATU...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwanza kabisa naomba kueleza moja kwa moja kwamba sina nia ya kuzusha mabishano, napenda mjadala huu uwe positive sababu ni kitu ambacho nimekishuhudia live. Nikiwa kwenye bajaji ya kutoka Mbezi...
1 Reactions
13 Replies
740 Views
Habari ndugu wajf. Kwa ujumla maisha Yana ladha na mitindo tofautitofauti, hapa kwetu uswahili panaitwa mji mpya Kichangani Manispaa ya Morogoro, Pana maisha ya kipekee Sana ukiachilia mbali...
0 Reactions
2 Replies
867 Views
Muda Kama huu huwa mzur Sana ukiwa na mwenza wako mnafarijiana na kupanga mipango yenu na ya familia kwa ujumla Changamoto unakuja kwa wale ambao tupo single,tunajawa na mawazo na pressure...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
habari. kuna audio flani hivi nliwahi kiskiliza mwaka juzi ya kichekesho cha mkurya aliyewrong number kwa mdada asiyemjua then akamtongoza akakataliwa akaambiwa akate simu akakataa akaanza...
1 Reactions
12 Replies
19K Views
Ninasoma kila thread ili nijifunze, sio ili nibishane. Kuna watu wanaandika kama comedy, ila thread zao zina mafunzo mengi sana. Usichukulie poa thread kwa sababu ya title iliyo beba, soma ndani
6 Reactions
5 Replies
542 Views
Sauti za kike zinasikika zikiimba maneno yafuatayo "Ni wajibu wetu kumshukuru Mwalimu nyerere,ni wewe ulianzisha umoja wa taifa,ni wewe ulianzisha cha chetu tanu" Wakuu hayo Ndio maneno...
1 Reactions
35 Replies
17K Views
Umu jf kuna majina Mengi ya ajabu ila hili la "Tsh" mimi limenipa kichwa Kuuma. Jina gani linakudhoofisha kabisa humu ndani?
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Aisee umenenepa sana. Aisee umekonda sana. Aisee hivi upo wapi saivi? Dah...hivi kama ni kukonda au kunenepa mimi sininajifahamu tokea nimetokea nyumbni asubuhi...kuna watu huwa Wana kauli na...
2 Reactions
7 Replies
498 Views
Ukikutana naye cha kwanza ana sikiliza shida zako vizuri. Halafu anakuuliza vipi umejaribu mara ngapi kutatua hizo shida zako kabla ya kunifuata? Una jibu, halafu anakwambia ukweli kuwa...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
waungwana, wastaarabu, jamani ile picha niliyokuwa naitafuta usiku na mchana humu JF hatimaye nimeipata, hii hapa.👇👇👇👇 Sasa muwe makini sana wakati mnaandika uongo wenu. 😁😁😁
10 Reactions
30 Replies
2K Views
Back
Top Bottom