Video hii ilipigwa huko Melbourne Australia. Kijana wa Kiarabu aliposhuka kwenye kibakuli (Baby Walker) na kuanza kumchimbia mkwara mbuzi Mzungu ambaye alisimama na kumpotezea kwa kuweka tu mikono...
Yaani leo hata sijui siku itaishaje na sijui kesho siku itaanzaje, maisha haya yasikieni tu. Sometimes mpaka nawaza kujitumbukiza baharini tu, bora iende. Dah!
Tafadhali kutokana na nyie kila mara (kwa upendo na mapenzi yenu nami) mnaamua kueleza hisia zenu kwangu na kunisifia na kuishia kuhusishwa nami kuwa hizo ID's zenu ni zangu (mimi GENTAMYCINE)...
Wakuu habari zenu.
Leo chupi chupi nimeponea kudhalilika.
Kwa kweli kwa sasa napitia kipindi cha changamoto kidogo ukizingatia kwamba shemeji yenu yeye ana support Russia na mimi nipo upande wa...
Kipi kitakupata endapo ukiamua kuishi maisha yako bila kumuongelea mtu?
kuna watu wanaongea sana hadi wanatukwaza sisi (introvert). Ifike hatua tujifunze kukaa kimya.
Hamchoki?
Daah wanaJF, natumai wazima
Twende kwenye point
Je, unakaa Dar?
Je, ushwahii kupotea njia?
Je, ushawahi kuibiwa?
Siku moja hivi nilikuwa na furaha mno daaah nikapanda daladala kwenda nyumbani...
Aisee, kwangu hii ingekuwa sheria na wala siyo ombi, ukiukwaji wa sheria hii adhabu yake ingekuwa ni viboko vya kila rangi, ni mwendo wa bakora kwa kwenda mbele.
Sheria ingekuwa ni kama...
Wasalaam wanajukwaa, ningependa kufahamishwa ni kwa namna gani Kenge anavyoweza kumdhuru Binadamu, namna ya kumuepuka kama kuna yoyote anafahamu njia za kukabiliana na viumbe hawa kama...
Nauza vitu vyangu mwenyewe akuna darali nahamama nchini Tanzania nakwenda kikazi America "United States of America "karbu ujipatie vitu Kwa bei nzuri Sana.
Karibu PM
Kwema?
Aisee wadau nimekuwa na mapenzi makubwa na Jennifer Lopez ila nimekosa njia ya kukutana naye. Kama kuna mtu mwenye 'access' naye anipm, nitampa chochote kile. aisee, nyie, jamani mh...
Kijana wa sasa ambae hujaoa ila pia unategemea kuoa unapokuwa unatafuta mwenza jitahidi uchague mwanamke anaetoka kwenye familia ya kipato cha kati, vinginevyo itakuwa unaendeleza umasikini au...
Ukweli ndiyo huo. Wanawake, hasa nyie wadada wa makamo (26-45) pendeni sana kuwa na matumbo mazuri. Vitambi waachieni wanaume. Bila viriba tumbo mnapendeza. Fanyieni kazi tafadhali.
Majobless, masikini na mnaoshi kwa shemeji zenu mko poa? Na wakerewe pia mko poa?
Wakuu humu jf kuna lijamaa linaitwa gaganiga daah wakuu huyu jamaa ni mnyamwezi fulani iko pesa nyingi sana aisee...
hello,
Oya wanangu eeh, kitambo sana.
Dah, sikumoja nilikutana na mdada mzuri, mnene kiasi, ana shepu fulani hivi. Siku ya kwanza nilimwomba namba, kanipa. Tukachati siku ya kwanza, wiki...
Najilaumu mno, huyu mpenzi wangu amenichemshia maziwa na mikate, nilikuwa na hasira tu hasa baada ya kuliangalia tumbo lake na usumbufu anaonipa.
Bado nina hasira mno mpaka muda huu. Chupa ya...
Kidemu kifupi cheusi kina mapengo meno ya mbele kinaniambia bila afu tisini hakiwezi toka na mimi. Wakati huo nachati na pisi kali inaniambia tu tafuta kiwanja kizuri tukaenjoy.
Hapo ndio...
Ndugu zangu tumsifu Yesu Kristo. Kesho naenda Shinyanga mjini Kwa wenyeji mnipokee lakini pia sehemu za kulala nzuri zilizostaarabika na Yale mambo yetu ya Hawa mama zetu.
Lakini pia napenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.