JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Orodhesha majina ya kike yanayoanzia na herufi P mnayoyajua.
0 Reactions
19 Replies
26K Views
Kuna dalili manyunyu yanapiga tuendeleeni kuomba dua.
3 Reactions
11 Replies
766 Views
Kama unafikiri Dunia hii umeona kila kitu, hapana. Ona hii; "Aliyeokoa anaenda kufundishwa uokoaji na waliyoshindwa kuokoa." 'Made in Tanzania'. [emoji1241]...
29 Reactions
69 Replies
3K Views
"NITUMIE BASI PICHA ZAKO!!" Hii ndio kauli pekee Ambayo mwanamke anajua kabisa anatongozwa na chizi!!😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
19 Reactions
85 Replies
5K Views
Serikali inaweza kukubana ukawa bize kulitumikia taifa na kutusahau wana humu JF. Tuendelee kuwakumbuka na kuwaita malejendari kadhaa ambao waliwika katika majukwaa mbalimbali kipindi fulani...
13 Reactions
135 Replies
8K Views
Jamii forum ina majibu ya kila swali , kuanzia maswali ya msingi mpak ya kijinga yote Yana majibu sahihi kupitia JF, mtandaoni sa hv ni vurugu mechi. Kila Kona ni meme za "AFTATU " ndo...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Maeneo ya Kisutu kule nyuma karibu na Upanga kulikuwa na eneo vinapikwa vitumbua vitamu mnooo. Sijui kama bàdo wapo wale jamaa.
0 Reactions
6 Replies
768 Views
Tanzania inafuatilia kwa karibu sana mwenendo wa matukio yote katika uchaguzi wa nchini Marekani ili kuhakikisha kuwa haki inatendeka na uchaguzi huo unakuwa wa ni huru na wa haki. Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
451 Views
Dear: KatungeWake You mean the world to me, I love you beyond belief, and you make me happy every day. I am the luckiest person, knowing I have you. I can't believe we have come so far. When I...
1 Reactions
2 Replies
470 Views
Utakuja Kwangu GENTAMYCINE na Mchango wako tu wa Shilingi Elfu Hamsini ( Tsh 50,000/= ) tu kisha Maelekezo yafuatayo yatafuata Kwako..... 1. Kuna Fomu utajaza aina ya Kazi ambayo utaiweza na hasa...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Jamani naombeni msaada maana ya majina haya protas na pascal
1 Reactions
1 Replies
795 Views
Furaha iliyoje baada ya juzi juzi hapa kama siku chache zilizopita, nilimpigia simu mpenzi wangu kwa kutumia simu ya rafiki yangu. Alipokea simu tu na kusema "Mambo baby wangu" tena kwa sauti...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Japo mimi ni Simba damu damu ila huu ndiyo ukweli. Comment fupi fupi tafadhari.
3 Reactions
13 Replies
919 Views
MUNGU Awabariki KUJITOA KUNA BARAKA ZAKE THX ENGN THX MAJALIWA THX DAR YOUNG AFRICANS
0 Reactions
3 Replies
597 Views
Kwa kweli sisi ni washamba sana na malimbukeni. Sisi ndiyo tunaouza ng'ombe tukale chips kuku na wanawake. Uchawi tumo sana, UMUGHAKA anaujua muziki wetu. Sisi ndiyo tunapiga mapicha na mapozi...
6 Reactions
39 Replies
3K Views
Kiuhalisia kila kitu kinachotendeka katika maisha yakila siku ni marudio ya maisha yaliyopita, na tayari maisha hayo yamehifadhiwa kwenye maandiko mbalimbali, amini usiamini maswali yako yote...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi karibuni nimekua nikinyewe na ndege Mara kwa Mara Haswa napokua nipumzika mahali (kwenye kivuli au chini ya nyaya za umeme). Naomba kujua tukio hili huashiria nini!?
1 Reactions
57 Replies
29K Views
Addiction Ni kitu ambacho kamwe hakiwezi epukika katika Karne hii ya 21.In one way or the lazima kila mwanadamu especially wanaume atakuwa addicted na mojawapo ya vitu vifuatavyo; 1.Betting &...
4 Reactions
42 Replies
3K Views
Naombeni jina zuri la kumsave Mchepuko ili nisikamatwe [emoji2957][emoji2957]
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Nisikuchoshe. Huyu mwanamke nilitafuta kila njia kuachana naye. Alistukiwa na mumewe na akaniambia amestukiwa, hakujua anani alert, nikajisemea ni Muda sahihi kuachana na kukimbia mbio. Siku...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom