JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kiuhalisia kila kitu kinachotendeka katika maisha yakila siku ni marudio ya maisha yaliyopita, na tayari maisha hayo yamehifadhiwa kwenye maandiko mbalimbali, amini usiamini maswali yako yote...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi karibuni nimekua nikinyewe na ndege Mara kwa Mara Haswa napokua nipumzika mahali (kwenye kivuli au chini ya nyaya za umeme). Naomba kujua tukio hili huashiria nini!?
1 Reactions
57 Replies
29K Views
Addiction Ni kitu ambacho kamwe hakiwezi epukika katika Karne hii ya 21.In one way or the lazima kila mwanadamu especially wanaume atakuwa addicted na mojawapo ya vitu vifuatavyo; 1.Betting &...
4 Reactions
42 Replies
3K Views
Naombeni jina zuri la kumsave Mchepuko ili nisikamatwe [emoji2957][emoji2957]
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Nisikuchoshe. Huyu mwanamke nilitafuta kila njia kuachana naye. Alistukiwa na mumewe na akaniambia amestukiwa, hakujua anani alert, nikajisemea ni Muda sahihi kuachana na kukimbia mbio. Siku...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Wenye uzoefu na mabinti wenye type hiyo tupeni sifa na changamoto zao.
6 Reactions
126 Replies
11K Views
1. Watetezi wa Udikteta Kumeibuka kundi kubwa la watu katika huu mtandao wakihusudu na kutamani kutawaliwa kidekteta kwa imani kwamba madikteta ndio huleta maendeleo kwa kasi. Naamini ni ujinga...
1 Reactions
4 Replies
441 Views
Mnaendeleaje na ujenzi wa Taifa? Jumapili nilifanya kitendo ambacho kimenipa maswali mengi ya namna ya kumtazama Mchungaji na washirika wenzangu kwa jicho lile lile la mwanzo. Naumia sana, na...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Salaam! Huu ni Utafiti huru na sio kila mtu aukubari,lakini ukweli ni kwamba joto la Uume ni kali sana ila inakuwa vigumu sana kulihisi kutokana na ukweli kwamba mwili mzima huwa katika pressure...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Hii tabia inakera sasa kwa siku nafuatwa na wanawake 6 mpaka 10 huku pm, wengi wao wanaomba mahusiano na mimi mwizukulu mgikuru a.k.a babu...nimechoka kutongozwa na akina beesmom.
20 Reactions
173 Replies
7K Views
Hello waungwana, nawaombeni muweke kampuni za mabasi yenye kunguni, YAMENIKUTA juzi.
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Mpo poa nawatakia good nights wote wanaojitambua akiwemo mzab zab na Glen na wengineo Love Doctor Lovelovie Kasie Bujibuji Simba Nyamaume sophie na wengine wengi shusha na wako
5 Reactions
8 Replies
618 Views
Humu tumo mkusanyiko wa watu wengi ambao tumeunda jamii hivyo tumesadiki nadharia ya Jamii ambayo ipo katika mfumo wa forum!. Nitaielezea kidogo jamii ya jamiiforum kwa makundi machache huku...
8 Reactions
56 Replies
5K Views
Hivo wakuu. Nawasilisha. #OneDayYouWillBeGone Dr criminal
0 Reactions
2 Replies
622 Views
Leo natangaza mimi ni mchawi na ukibisha tukutane usiku
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Maisha haya yamenifunza jambo moja hakika mtu unaempenda na mtu utakayedumu nae_kwa asilimia kubwa huwa ni watu wawili tofauti.
6 Reactions
12 Replies
865 Views
KIVUKO CHA MV NYERERE CHAZAMA Kivuko cha MV Nyerere kinachofanya safari zake kati ya Bugorara na kisiwa cha Ukala katika ziwa Victoria kimezama muda huu, huku taarifa za idadi ya watu waliokuwemo...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Marafiki zangu toka africa,ulaya,asia na marekani wamekuwa wakiniuliza nmepatwa na nini?mbona kule twitter naandika kama mtu mwenye stress za maisha? Nmeshangaa sana maana mimi situmii account ya...
3 Reactions
36 Replies
6K Views
Ukishaanza Kufanikiwa Ndugu zako nao ndio wanaamua kufa ili uonekane umewatoa Kafara..! [emoji28]
7 Reactions
11 Replies
861 Views
1. Mwenza wako akitema mate kwenye chombo waweza lamba? Jibu laweza kua no, ila content ni zile zile 2. Unajua kijiko au kikombe cha mgahawani unachotukia kimeingia kidomoni mwa watu wangapi ...
0 Reactions
3 Replies
504 Views
Back
Top Bottom