JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nataka kununua iPhone 12 Pro Max au S21 Ultra, je ni bora niagize nje (eBay) ama ninunue tu Makumbusho?
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Ngoja niwape stori, mwaka juzi tulitoka Dar kwenda Tabora kufanya biashara ya kuuziana gari ambayo ilipostiwa humu humu JF. Tukafika Tabora tukaiona gari tukarizika nayo, tukapana, tukailipia...
3 Reactions
5 Replies
757 Views
Habari, Leo siku yenu wanaume, mbona hakuna shamra shamra or are you are unaware of the International Men's Day? Ama mpo bize kutafuta alfu tatu. God Bless all men who try, who are there and who...
3 Reactions
9 Replies
650 Views
Jiwe lililokua linanisumbua kwenye figo toka tarehe 04/10/2022 hadi leo, hatimaye nimelikojoa muda huu.
2 Reactions
42 Replies
2K Views
Wanawake siwaelewi. Huyu analia shida kuwa maisha magumu, na anamlalamkia mpenzi wake kuwa ni bahiri, lakini nikitangaza dau anipe penzi anakataa kuwa yeye siyo malaya. Nimetangaza dau la laki...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Poleni na majukumu ndugu zangu. Mpira una mashabiki maelfu kwa kwa mamia, miongoni mwao mimi sijabahatika kuwemo. Dah alieniroga, hakika sijuwi nimwambieje! ~ Ukiwa na mimi ukaleta habari za...
0 Reactions
2 Replies
684 Views
🚸 Yanga 4 - 1 Singida - Bahasha. 🚸 Simba 4 - 0 Ruvu - Chama noma.
0 Reactions
2 Replies
514 Views
Utani wa Ngumi huu.
1 Reactions
1 Replies
682 Views
Si vibaya mtu ukikumbuka ulipotoka. Nakumbuka siku ya kwanza kukanyaga Pugu ilikuwa tarehe 5 mwezi februari. ilikuwa ni siku ya mapumziko (public holiday), siku ya kuzaliwa CCM(Kwa miaka hiyo...
2 Reactions
57 Replies
14K Views
There is a Race, I must Run There is a Victory to be Won Give me Power, Every hour To be true, Ooh Lord #11YearsOfVictory #19thNevember2011
17 Reactions
85 Replies
5K Views
Sehemu ya kwanza Nakumbuka ilikuwa ni mwaka 2019, kipindi hicho niko chuo mkoa wa Mbeya katika harakati zangu za hapa na pale. Mimi nilikuwa ni mtu wa kwenda sana klabu kupata mbili tatu za hapa...
1 Reactions
19 Replies
842 Views
1 Reactions
5 Replies
542 Views
Ni hivi kuna jamaa yangu mmoja kaja kunishauri ooh unajua kaka una matumizi mabaya ya fedha kwahiyo nakushauri uanze kuweka akiba ili ikusaidie baadaye. Mwanzo nikaona ana point ila nilivyo kaa...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Ndugu wana JF nimeamua leo ni-rest in peace mapema, kwanini nimechukua uamuzi huu? Kwa sababu niliamka mapema sana, saa 11 asubui nikaenda mazoezini, halafu baadaye nikajiandaa kwenda kazini...
0 Reactions
54 Replies
3K Views
Mungu awatie nguvu
0 Reactions
2 Replies
480 Views
Aliyedesign haka kapicha aache kabisa kutuletea mambo yake, Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
758 Views
Sema Mimi fresh tu wala sijali na hapa naita geto nichakate susumbu![emoji3][emoji3][emoji3]
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Nisiwe msemaji sana, Picha inajitosheleza
0 Reactions
3 Replies
633 Views
naomba msaada wenu wanaJF
0 Reactions
57 Replies
15K Views
Naona namna ambavyo wanadada wasiyo na makalio wanavyodharaulika mtaani. Nawaonea huruma. Wanapitia wakati mgumu sana katika maisha yao. Kwa kwali miungu iwatie nguvu. Ukiangalia kila sehemu...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom