JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Weekend ndio hii naomba kujua nikatumbukke kidimbwi au kuna Kona bora zaidi. Wazee na wamama wa matanuzi tafadhali. Lkn hakuna usumbufu kwetu kinamam
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Naangalia mkutano wa CCM Mbeya. Msemaji mmoja kauliza CCM mpooo akajibiwa tupo kisha akasema "mbona hamnipigii makofi?" Kazi kwelikweli.
1 Reactions
3 Replies
519 Views
Habari wakuu Leo ni siku yangu ya kuzaliwa... Namshukuru Mungu kwa mwaka mwingine... Nina maswali kidogo... Hivi siku ya kuzaliwa ni muhimu kusherehekea? Na kama ni muhimu kwanini?
15 Reactions
50 Replies
2K Views
Habari. Wikiendi imeanza. Kiuhalisia ninaweza kuonekana mjinga ila ninakuja na mada hii. Karibu kwa kubishana leo Tubishane mpaka Tuchoke. Ila Tusitukanane
5 Reactions
29 Replies
1K Views
Jamani tutafuteni pesa kwa bidii tuache kuendekeza chuki na wivu kwa wenzetu waliofanikiwa. Mwenzio yupo tu sawa anakula nyama kavu bila ugali afu wewe unahisi Kama jamaa anaharibu mboga 😂
0 Reactions
9 Replies
687 Views
Hello, Ushawai kulala mchana ukaamka ukaona kama umechelewa kwenda shule au kazini? Mimi imeshawahi nitokea nikiwa nimelala mchana nikaamka nikaona mbona kama nimechelewa shule, nikaamka chap...
2 Reactions
39 Replies
2K Views
Nipo kitandani, nashangaa desktop inawashwa, kwenye meza hakuna mtu. Wala hakuna paka labda kusema kaminya sehemu. Hii si balaa?
2 Reactions
16 Replies
2K Views
[emoji38][emoji38]kama wewe hauna mke harafu ume panga nyumba zisizo na dari (cellingboard) daah hivi usiku hua mnalalaje? Kuna jamaa Alikua na mke ila yeye Alikua akipiga viwili chali ana tulia...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Mchana wa leo nimefungulia Radio moja ya dini ili nipate kula neno kwa kuwa nilikuwa sijala chochote kitu kabisa kutokana na hali ngumu ya kimaisha Ghafla nikaskia," fulani bin fulani aliahidi...
1 Reactions
7 Replies
510 Views
Virgin: 10 marks Single: 10 marks Vegetarian: 10 marks Never drunk: 10 marks Never kissed: 10 marks Never hugged: 10 marks Never smoked: 10 marks. My score: 30 marks.
2 Reactions
59 Replies
2K Views
Wakuu poleni na majukumu! Ni mimi kijana wenu humu jamiiforums, kama mnavyojua now baadhi ya vijana kama mimi ndio tumemaliza chuo tumerudi mtaani japo harakati huku mtaani hazisomeki. Bila...
5 Reactions
75 Replies
4K Views
Kuna mafundi nguo wazuri na wazinguzi. Kila mmoja huenda ana jambo lake linalomfanya kamwe asimsahau fundi nguo fulani labda kwa uzuri au ubaya. Share with us kilichojiri kwenye comments...
2 Reactions
62 Replies
3K Views
Haya ni maajabu ya wanawake. Utasikia napenda mwanaume mrefu mweusi lakini cha ajabu wanapenda kuzaa vitoto vyeupe pee.
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Jamaa mmoja alienda kupima na akagundulika ana kansa ya ubongo! Jamaa alisikitika sana, mwishowe kamwambia Doctor, Doctor basi ondoa ubongo! Doctor Akashangaa, akamwambia! Utakufa maana hakuna...
10 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu, za siku nyingi? Ebana nilikua busy na kautafiti kanakohusu mikoa ya Tanzania yenye makabila yenye wanawake wavumiivu katika ndoa na haya ndio matokeo ya kautafiti kangu. 1. Iringa 2...
8 Reactions
130 Replies
10K Views
Habari zenu wana JF. Leo niwarudishe nyuma kidogo uzi huu unahusu vituko ulivyovishuhudia ukiwa katika chumba cha mtihani. Karibuni sana
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Nimekaa nimetafakari nimegundua Walevi tuna umoja sana Toka nitangaze kuacha pombe wengi wamenifuata inbox kuniomba nirudi kundini Lakini kuna wengine wamenitisha sana tena hadharani Kuna...
2 Reactions
6 Replies
380 Views
Wadada mnaenda gym kudanga na sio kufanya mazoezi kule mnaenda kudanga kutafuta watu muwachune hela za pango Kipindi cha gym kujaa ni mwezi wa sita na mwezi wa kumi na mbili ndio gym inakuwa na...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Kama mjuavyo, kazi ya moyo si kusukuma damu tu. Kazi nyingine kubwa ya moyo ni kupenda, na kila mtu anapenda kupendwa. Na humu ndani kuna watu wana hisia na mtu fulani (ID), ila wanashindwa...
24 Reactions
2K Replies
75K Views
Back
Top Bottom