JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nawasalimu katika jina la DP World (chagua muitikio; mkataba uendelee au usiendelee) Katika maisha huwa tunafanya maamuzi kadha wa kadha kwa sababu zinazoelezeka na kueleweka. Lakini kumbe zipo...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Mimi binafsi si msambaa Ila hawa jamaa wakiongeaga lugha yao Huwa naenjoy sana hususani zile lafudhi zao kama vile hela wanaita hea, nyumbani wanaita nyumbai. Kabila lingine ni wamakonde...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Hivi kwasababu gani wageni wanakuwa bize sana kuangalia TV 📺, baada ya chakula kutengwa mezani?
0 Reactions
3 Replies
345 Views
0 Reactions
0 Replies
308 Views
1 Tim 4:12 SUV Mtu awaye yote asiudharau ujana wako, bali uwe kielelezo kwao waaminio, katika usemi na mwenendo, na katika upendo na imani na usafi. Lk 2:52 SUV Naye Yesu akazidi kuendelea katika...
29 Reactions
349 Replies
14K Views
Huyu tumpeni tu maua yake jamani😂
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Elewa kwanza upendo ni nini Elewa kwanza akili ni nin Elewa kwanza ndoa ni ni Eewa kwanza mapenzi ni nini Elewa kwanza mwanaume ni nani Elewa kwanza mwanamke ni nani Elewa kwanza uchumii ni nini...
2 Reactions
2 Replies
966 Views
1. Tunaulizwa kama tunaumwa. 2. Tunaulizwa kama tuna uhaba wa pesa. 3. Tunaulizwa kama tuna stress za maisha plus mapenzi. 4. Tunaulizwa kama tunakula.
15 Reactions
39 Replies
2K Views
Leo tunasheherekea siku ya emoji duniani. ❤ Piga emoji moja hapa kuienzi siku hii muhimu! ❤️❤️❤️❤️
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Hakuna kitu nisichokipenda kama nikipanda daladala, boda au bajaji especially when kuna foleni na unataka kuwahi wao wanaingia sheri kujaza mafuta. Hivi wanashindwa kuweka full tank na kujaza...
1 Reactions
11 Replies
550 Views
Hello. Wana chitcharts ni nani alikuja katika maisha yako ukiwa na uhitaji mkubwa wa jambo alikusaidia kwa asilimia kubwa na Akaenda Hakurudi tena au haukuwahi kuendelea kuwasiliana nae. Kuna...
12 Reactions
71 Replies
4K Views
  • Closed
Wakuu mpaka Leo huwa najiuliza Shunie alienda wapi loo!! Huyu mtu tulipendana Sana humu JF Enzi hizo ndiyo alikuwa bae wangu humu kila Uzi lazima atupie comment kipindi hicho humu JF kulikuwa na...
10 Reactions
136 Replies
6K Views
Hahahahahahahahahahaha....... Salamu wakuu katika jukwaa .ujue katika maisha kuna watu wanakera sana yaani wanakupa lawama bure wakati hawajui jitihada zako from no where mtu humjui hakujui (japo...
0 Reactions
1 Replies
759 Views
Na kutokana na Uwingi wa Watu kwa sasa Mkoani Mwanza huku Mahitaji yakiwa mengi na Masoko Kuongezeka hasa Soko Kuu ili Kujikinga na Mabalaa yasiyotarajiwa ( hasa Moto ) naishauri Serikali kuanzia...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Weekend ndio hii naomba kujua nikatumbukke kidimbwi au kuna Kona bora zaidi. Wazee na wamama wa matanuzi tafadhali. Lkn hakuna usumbufu kwetu kinamam
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Naangalia mkutano wa CCM Mbeya. Msemaji mmoja kauliza CCM mpooo akajibiwa tupo kisha akasema "mbona hamnipigii makofi?" Kazi kwelikweli.
1 Reactions
3 Replies
519 Views
Habari wakuu Leo ni siku yangu ya kuzaliwa... Namshukuru Mungu kwa mwaka mwingine... Nina maswali kidogo... Hivi siku ya kuzaliwa ni muhimu kusherehekea? Na kama ni muhimu kwanini?
15 Reactions
50 Replies
2K Views
Habari. Wikiendi imeanza. Kiuhalisia ninaweza kuonekana mjinga ila ninakuja na mada hii. Karibu kwa kubishana leo Tubishane mpaka Tuchoke. Ila Tusitukanane
5 Reactions
29 Replies
1K Views
Jamani tutafuteni pesa kwa bidii tuache kuendekeza chuki na wivu kwa wenzetu waliofanikiwa. Mwenzio yupo tu sawa anakula nyama kavu bila ugali afu wewe unahisi Kama jamaa anaharibu mboga 😂
0 Reactions
9 Replies
686 Views
Hello, Ushawai kulala mchana ukaamka ukaona kama umechelewa kwenda shule au kazini? Mimi imeshawahi nitokea nikiwa nimelala mchana nikaamka nikaona mbona kama nimechelewa shule, nikaamka chap...
2 Reactions
39 Replies
2K Views
Back
Top Bottom