JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Morning folks.. What do ladies actually mean when they say;- Sipendi uongo Sipendi mwanaume muongo What kind of lies do they actually signify?
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Wanasayansi wanasema hashki ya mwanamke ni asilimia 99 kwa maana msisimuko wake katika kujamiana, hili halina pingamizi katika pande zote mbili kwa maana ya sayansi na vitabu vya dini. UKIBISHA...
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Hebu fikiria unaamka tu unakutana na hili balaa... MDOGO WAKO:Kaka naomba 600,000/= Kwa ajili ya ada . Walisema nisipolipa hawatanipokea kabisa . BABA MWENYE NYUMBA:Missed Calls 83 na Ujumbe...
10 Reactions
13 Replies
1K Views
"Hello Filipo, We at JamiiForums would like to wish you a happy birthday today! It's a special day in your life and NOT just a year older, but a year better! Wishing you all the great things in...
6 Reactions
215 Replies
12K Views
Habari, Leo ndio msimamo wetu unaonyesha hov Makete 9 Njombe 11 Mbeya 13 Iringa 14 Arusha 18 Bado tunafatilia maeneo ya katesh manyara Nb:vipimo vipo kwa degree centigrade Sent from my...
7 Reactions
50 Replies
3K Views
Herj ya kumbukumbu ya kuzaliwa. Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa unakutakia heri katika siku yako ya kuzaliwa Ndugu Ali Rajabu Issa. Katibu wa Idara ya Uchumi na Fedha UVCCM Taifa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndo ivo Ijumaa ila niko mpweke naomba ujee basi tuchat
5 Reactions
113 Replies
5K Views
1. Mwanaume ukishakua na gari bhaasi umemaliza kazi. 2. Utawagonga warembo mpaka uchoke. 3. Ulikosa gari hata kama Una bilioni au Una nyumba utaishia kupiga nyetto
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Kilimo ni kweli kina kipato kikubwa pia ni uti wa mgongo wa taifa lakini kilimo narudia kilimo kina vitimbi vingi kwa ground. Ukifika mashambani kunatisha mno wivu, chuki fitina na imani za ajabu...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
➡️Habari zenu wakuu Nafahamu kwenye pitapita zako umeshawahi kukutana na hawa jamaa ➡️Ipo hivi jamaa walianzia life huko interior kazi kubwa ikiwa ufugaji yaani kuuza mifugo na mazao yatokanayo...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Msiniulize kwa nini-nimemaliza!
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Mungu fundi bhana.. Tumbo lingekuwa na kioo tungeona mengi 😁viazi, magimbi vitumbua n.k ila akajua akili zetu na tabia zetu. Ule baga au magimbi wote tunaishi.. unyama sana yaani. [ ]...
5 Reactions
9 Replies
640 Views
Mimi huwa sipendi kukaa na abiria anayesinzia na kunilalia begani. Wewe huwa hupendi jambo gani?
10 Reactions
66 Replies
3K Views
Ni hatari kweli kweli, watu wanamfata lecturer niongeze hata alama 1 tu lecturer nae anakuja kama wewe umezikosa mimi nitazitoa wapi? Maombi yenu yanahitajika sana kwa hawa ndugu zetu.
8 Reactions
97 Replies
5K Views
Hili kosa la kutuma sms kimakosa nahakikisha sitalirudia tena. Nakumbuka niliwahi kumtumia mama yangu mzazi sms ambayo ilikuwa inatakiwa iende kwa demu fulani hivi [emoji23], bahati mbaya ikaenda...
87 Reactions
263 Replies
40K Views
Naishukuru sana hali ya hewa ya baridi kwasababu wewe ndiye sababu ya mimi kutungwa mimba, pengine isingekuwa baridi labda wazazi wangu wasingelitafuta joto. Wengi jambo hili litawachekesha...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Nani alikua anajua kama leo hii ungekua hapo ulipo kama sio Mungu, hata kama mambo bado haya jakaa sawa jipige kifua unaweza [emoji123]
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Asili kamili ya watu wa RUSSIA ni Afrika ya Kusini hasa zile Jamii za wawindaji ixhosa. Neno Russia ni muunganiko wa maneno mawili. 1.Ru uxembana ndaba na ezolo -- Uruuu. 2.Ishiya. Ru (Uru ) +...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
nimekuwa nikisikia sikia watu wanasema jukwaa la wakubwa..jukwaa la wakubwa...sasa mimi nimekuwa nikizurura kwenye vichochoro vyote vya jf sijaliona...liko wapi hili jukwaa...au ni jukwaa...
3 Reactions
100 Replies
16K Views
Back
Top Bottom