There's this guy in a bar, just looking at his drink. He stays like that for half-an-hour. Then, this big trouble-making truck driver steps next to him, takes the drink from the guy and just...
Hii ilitokea wakati nipo primary school pale mpakani Tunduma.Kwa sababu tuko mpakani,ilikuwa si ajabu mtoto wa TZ kwenda kusoma pale Nakonde,zambia na pia wao kuja kusoma kwetu.Basi one day...
Watu pipoooooooo hamna hata laptop mkaingia kutoa matukio ya mitaani Idd inakwendaje najua ni mengi tu
Panaboa kama na kesho hali itakuwa hivi itabidi Mod . waifunge JF kidogo kwa mapumziko...
Wapendwa wana wa JF, napenda kuungana nanyi katika kusherehekea miaka 3 ya ndoa na miaka 11 ya mahusiano na my wife wangu. Ni jambo dhahiri kuwa kufikia hapa tumevuka milima na mabonde mengi...
Kuna jamaa aliulizwa kwa nini hurricanes hupewa majina ya kike,yeye akajibu: because they come WET and WILD and they leave with your CAR and your HOUSE
Why is SEX so important to us all if it takes up sooooo little of ourtotal time???
For example - the experts tell us that people in a "healthy" married relationship should havesex 2 or 3 times...
Jamaa mmoja alikuwa anapiga chabo
dirishani hapa street kwetu, wakati wana ndoa wakiwa
kwenye mahaba, mara huko nje ya
nyumba akawa anakatiza mtu na baiskeli aliyekuwa
ghafla tairi la baiskeli...
Mzee mmoja aliingia kwa Doctor huku akiangua kilio.....Doctor akamuuliza vipi?... Jamaa huku ameweka mikono kichwani akamwambie, Doctor...hivi ile dawa ya kupaka uliniambia ninywe mara ngapi...
She sends him the following message on SMS:
My love
If you're sleeping, send me your
dreams
If you're smiling, send me your
smile
If you're crying, send me your
tears
I love you...
He...
My Dear Brother Elia,
Kwa heshima na taadhima napenda kuchukua fursa hii kukutakia Heri ya siku yako ya kuzaliwa.
Mungu akuzidishie maisha marefu uishi miaka mingi Duniani.
Msisitizo kwa...
Jamaa yangu kaingia jana saa tatu usiku akitokea Mwanza, kazunguka Sinza yote bila mafanikio, kila gesti imejaa. Kinondoni, Magomeni, ilala, Tabata na Buguruni. Saa saba usiku akakata tamaa akaja...
Katika utafiti uliofanyika kwenye hospital ya Muhimbili, imebainika kuwa asilimia 80% ya watu wenye umri kati ya miaka 15- 57 nchini Tanzania wanaosumbuliwa na ugonjwa wa moyo ni mashabiki wa...
Why doesn't Tarzan have a beard?
Why do we press harder on a remote control when we know the batteries are flat?
Why do banks charge a fee on 'insufficient funds' when they know there is not...
katika gate ya ikulu mzee mmoja alikuja na kumuomba askari ruhusa kumuona rais JK.askari akamjibu mzee kwamba JK si rais tena na wala hakai ikulu.mzee taratibu akaondoka..siku ya pili mzee akarudi...
Huwa natumia usafiri wa daladala, kuna mambo ambayo huwa yananiletea maswali kama:
1. kwa nini wanaotaka kumkoromea konda au hata abiria wengine huwa wannasema......unajua unaongea na...
Jamani ndugu zangu mimi nilikuwa nawapa kampani kufunga lakini leo hat mmoja wa kusema First Born karibu hakuna?
AshaDii?????????
Dena Amsi??????????
Husninyo???????????
Ex pastor...
baada ya binti kujifungua mazungumzo na mama mkwe wake yakawa hivii,
Mama mkwe: Binti samahani lakini kusema ukweli mtt hafanani kabisaa na kijana wangu,
Binti: Mama bila samahani, huku chini...