Chabo Noma

Chabo Noma

Dumelang

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
3,266
Reaction score
5,858
Jamaa mmoja alikuwa anapiga chabo
dirishani hapa street kwetu, wakati wana ndoa wakiwa
kwenye mahaba, mara huko nje ya
nyumba akawa anakatiza mtu na baiskeli aliyekuwa
ghafla tairi la baiskeli yake
liliburst na kulia puuuuu!
wanandoa humo ndani ya nyumba waliposikia mlio
wa kubusrt tairi wakatulia kwanza kufanya tendo,
mpiga chabo dirishani
akajisahau akasema
"nyie endeleeni nipancha tu''
watu hoi kwa kicheko.:msela:

sasa watu gani walibaki na kicheko ...????? Jipange vizuri broooo

sasa watu gani walibaki na kicheko ...????? Jipange vizuri broooo

washuhudiaji ! kama wasingekuwepo isingefika hapa...hata weye uliyesoma
Umekubali...eeh nakuja nikiwa nimejipanga.

Hahaha chabo noma. Kuna jamaa walikuwa na kakikundi chao cha kupiga chabo gesti, basi kuna siku jamaa alikuwa wa kwanza kupiga chabo kucheki kumbe sista wake alivo shushwa ilianzisha timbwili hakuna mtu mwingine kupanda kupiga chabo.

Aaaagh!!na wewe kwa umbea,sasa ulinionaje wakati ilikuwa mida yetu ya kazi(naiti).dah na wewe mkuu haulali!!?

Hahaha chabo noma. Kuna jamaa walikuwa na kakikundi chao cha kupiga chabo gesti, basi kuna siku jamaa alikuwa wa kwanza kupiga chabo kucheki kumbe sista wake alivo shushwa ilianzisha timbwili hakuna mtu mwingine kupanda kupiga chabo.

AAaah hii kali kinyama yani.. hivi jamaa wakoje lakini..!?

Ulikuwa ndio wewe unapiga chabo nin?

huh..............keke kekee kekekeee keke keeeke keke keke kekeeee

Chabo ugonjwa mbaya saana,nishakuwa na rafiki angu mmoja,hata mkiwa ugenini hasa sehemu za uswahilini,akimwona mwanamke aenda bafuni lazima atumie kila mbinu aende kumchabo.

Jamaa mmoja alikuwa anapiga chabo

dirishani hapa street kwetu, wakati wana ndoa wakiwa

kwenye mahaba, mara huko nje ya

nyumba akawa anakatiza mtu na baiskeli aliyekuwa

ghafla tairi la baiskeli yake

liliburst na kulia puuuuu!

wanandoa humo ndani ya nyumba waliposikia mlio

wa kubusrt tairi wakatulia kwanza kufanya tendo,

mpiga chabo dirishani

akajisahau akasema

"nyie endeleeni nipancha tu''

watu hoi kwa kicheko.

watu wepi tena walioangua kicheko? Au kulikuwa na lundo la wapiga chabo?

washuhudiaji ! kama wasingekuwepo isingefika hapa...hata weye uliyesoma

Umekubali...eeh nakuja nikiwa nimejipanga.

Washuhudiaji inamaana chabo mlipiga watu wengi

mitaa ya ukonga jama alikuwa na wachizi wake wanapiga chabo gest wakwanza akacheki akampisha mwenzake ile anachungulia tu akachomwa na spoku mchizi akapiga kelele wamezima taa kumbe jicho limetobolewa .

Jamaa mmoja alikuwa anapiga chabo

dirishani hapa street kwetu, wakati wana ndoa wakiwa

kwenye mahaba, mara huko nje ya

nyumba akawa anakatiza mtu na baiskeli aliyekuwa

ghafla tairi la baiskeli yake

liliburst na kulia puuuuu!

wanandoa humo ndani ya nyumba waliposikia mlio

wa kubusrt tairi wakatulia kwanza kufanya tendo,

mpiga chabo dirishani

akajisahau akasema

"nyie endeleeni nipancha tu''

watu hoi kwa kicheko.

Waache vijana waitwe vijana,nimecheka nusu saa nzima. Hizi comedy mnazi-compose vipi?

Similar Discussions

Back
Top Bottom