we hiyo avatar yako vipi?My Dear Brother Elia,
Kwa heshima na taadhima napenda kuchukua fursa hii kukutakia Heri ya siku yako ya kuzaliwa.
Mungu akuzidishie maisha marefu uishi miaka mingi Duniani.
Msisitizo kwa kimombo: "HAPPY BIRTHDAY MY DEAR BROTHER"
![]()
Regards
Desidii
we hiyo avatar yako vipi?
au unataka watu tusahau wake zetu?
NWY
happy birthday mtoto mzuri Eli............
Happy birthday mtoto. Mungu akupe furaha maisha yako yote.
asante sana mydear, nashukuru kunitakia B'day njema. Sijui hata nifanye nini au niandae nini leo!..... but thank you na karibu sanaMy Dear Brother Elia,
Kwa heshima na taadhima napenda kuchukua fursa hii kukutakia Heri ya siku yako ya kuzaliwa.
Mungu akuzidishie maisha marefu uishi miaka mingi Duniani.
Msisitizo kwa kimombo: "HAPPY BIRTHDAY MY DEAR BROTHER"
![]()
Regards
Desidii
Elia ni mtoto mzuri?......okay okay.....Happy birthday Elia.....
Am around, nakutafuta mkuu utakuwa pande zipi?Happy Birthday Elia naughty boy
Happy Birthday Elia! Enjoy and be happy!
<br />Hapi birthday 2 u.. Hapi birthday dear Elia, kata keki tule.. Kata keki tule "afta futari lakini"..
Thanks, am getting order nowHappy Birthday dear Elia
being one more year is part of life
so don't worry.