JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hahahahahahaha nampenda sawa lakini kwahilo mwenzangu hapanaaa.
2 Reactions
11 Replies
921 Views
Jf Today's Birthdays jumla ya member 33 ambao wame andika tarehe ya Leo 11/09 Happy birthday am 4 real Kwa niaba ya wote tuliozaliwa September eleven...... Niseme, Happy birthday to you All 🎁 🎉🎉
9 Reactions
44 Replies
2K Views
Yani wanawake wengi tena haswa awa wanajiita ma BBF ndo kabisa, mtu anatoa habari za huyu anapeleka kwa mwingine Alaf anajifanya oh my babe I always got your back kumbe unafki mtu akiwa pembeni...
16 Reactions
111 Replies
4K Views
KESI YA UCHOCHEZI YA NEY WA MITEGO NA WIMBO WAKE MPYA WAPO NA ,Mdude nyagali WAKILI; unasema wewe ni afisa wa polisi ney wa mitego alifanya uchochezi kwenye nyimbo yake na baadhi ya maneno...
8 Reactions
18 Replies
4K Views
Hivi inawezekana huko mbeleni milima yote ikaishia baharini kutokana na kusombwa na maji polepole?
6 Reactions
42 Replies
2K Views
We ni mtu mzima, huu ujinga wa kudandiadandia mambo unatoa wapi? Kila msemo unauvalia njuga. Kipindi wanasema wahenga ulikomaa kishenzi na huo msemo. Nakumbuka ukaja kukomaa na "Injinia soma...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Juzi kati nilileta thread jinsi navyoishi chini ya dollar moja kwa siku yote naizingatia kwenye mboga na nikasema mademu zangu kwa sasa wanalia njaa ya chakula mambo sio mambo. Sasa leo nimepika...
17 Reactions
41 Replies
3K Views
Straight to the point; Kwamba [emoji848] ...eti ili mtu aweze kuishi maisha yenye AMANI, FURAHA, UPENDO na KURIDHIKA itategemea sana tena sana Tabia yake (Habit), Mwenendo wake (Attitude), Hulka...
2 Reactions
3 Replies
490 Views
Mungu yupo pamoji nasi daima, Kwa niaba ya wanaume wapambanaji na wala bata nakiri kuwa ni kweli vibonge wana joto zuri la mwili kuliko vimodo. Vitu kama stamina ni kutegemea na aina ya...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Hatuwezi mlipa Wala muhonga Mungu ili atujibu hitaji za mioyo yetu. Asubuhi hii ya leo lila mwana JF aombe Sala hii. "MUNGU wa mbinguni asanteh kwa wema na neema zako, licha ya kuwa sisi ni...
0 Reactions
0 Replies
399 Views
Sijui hii comment niliandika nimelewa au laah, lakini Kuna mwamba kaja inbox kuuliza kama naweza kumpa million 3 na hio comment kuwa nina pesa mpaka zinamwagika imenibidi niisome Tena kwa utulivu...
13 Reactions
24 Replies
1K Views
Tanga mtoto wa kike akizaliwa tu anavalishwa shanga. Arusha kama huna meno ya dhahabu unatengwa. Manyara usipoua simba we sio mwanaume kamili. Mara demu akiwa hapigwi anaomba talaka. Mwanza...
1 Reactions
4 Replies
946 Views
Unajua ukizoea vidada vinavonata sana alafu ukiwa na kipesa kidogo cha kubadilisha totoz basi unaona sawa tu kuharibu laki kulipia kiwanja tuu kwa ajili ya pambano. Nimegundua huku kwenye Lodge...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Kama habari inavyojieleza natafuta Mke wa kuoa, nimekuwa busy na kazi nakosa muda wa ku-mingle na kutongoza, na wengi ninaokutana nao wanawapenzi wao na wengine wameolewa. Sasa mimi nataka wa...
5 Reactions
106 Replies
7K Views
Wanajukwaa naomba msaada wa Lodges nzuri za bajeti ya kati 25 to 30.
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Wazee wa kazi hii noma aseee
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Wenyewe habarini za mchana ,this thread pls tuelezee matukio ya kutisha ambayo wewe binafsi umeshawahi kukutana nayo dunia hii kwenye kuishi kwako, mimi binafsi sitosahau siku moja nilikua...
3 Reactions
151 Replies
27K Views
Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu, Asante Jehova Asante Mama Asante walimwengu Kwa kunipokea kuishi nanyi. Tuitafute amani sikuzote Duniani tunapita tusijisahau tukalowea kwenye dhambi, Kila kitu...
36 Reactions
258 Replies
7K Views
Tuseme bilionea yupo asubuhi ofisini anaendelea na majukumu Mara ghafla inaingia laki moja kwenye simu kimakosa, je hapa bilionea hawezi kuacha shughuli zake na kuchukua lifti kwenda kwa wakala...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Sihitaji salamu yako,salamu yako peleka kwenu huko!. Kwa Taarifa yako 1990 - Umri Miaka 35 1991 - Umri Miaka 34 1992 - Umri Miaka 33 1993 - Umri Miaka 32 1994 - Umri Miaka 31 1995 - Umri...
13 Reactions
59 Replies
3K Views
Back
Top Bottom