Kwanini unachukua namba ya simu ya mtu ambaye hautampigia?

kuna kitu kinaitwa "change of circumstances", unaghairi baada ya kuchukua number na maisha yanaendelea, labda yeye akupigie maana number mlibadirishana na kila mmoja ana jukumu la kumpigia mwingine.
 
kuna kitu kinaitwa "change of circumstances", unaghairi baada ya kuchukua number na maisha yanaendelea, labda yeye akupigie maana number mlibadirishana na kila mmoja ana jukumu la kumpigia mwingine.
sawa. sasa kwanini urundike manamba tele ambayo ww mwenyewe unajua kabisa hautawapigia ao watu?
 
sawa. sasa kwanini urundike manamba tele ambayo ww mwenyewe unajua kabisa hautawapigia ao watu?
Jibu nimetoa tayari- change of circumstances. Siku hazigandi labda yeye atapiga...
Halafu hilo la kurundika number halikuwa Swali lako la msingi Na haliendani Na kichwa cha habari hii kama ulivyoweka...
Kurundika number maana yake Ni nini? Wapi ninaporundikia, namrundikia nani, Kwa nini unasema Ni kurundika , Kwa manufaa ya Nani Na nini? Ni wakati gani Ni kurundika? Maswali Ni Mengi .
Labda heading yako ingetakuwa iulizie ... Kwa nini kurundika number?
Nimesikia wengine huko ulimwenguni wanaita number harvesting...au bang process... unazikusanya halafu unaanza kuwapanga ...number ukisha zivuna za kutosha... issue sio hupigi Bali ipo siku utapiga tu circumstance ikibadirika au Na labda ukisha vuna number za kutosha...Ruksa kuwa Na maoni mengine...number Harvesting ndio inayoanzisha bang process au process ya kunyandua... unazivuna halafu unawapanga... abundance mentality...unawarundika Na kuwapangilia haswa... gym ya kutosha kila masaa 2- mtu anaingia Na kutoka...lazima viagra itembee tu...wakitoka hapo kila mtu anakufungulia pdf lako...
 
Back
Top Bottom