Hivi kwa nini watu wakiona kivuko lazima wakikimbilie?

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
26,221
53,033
Dah ukisikia maajabu basi ndio haya, nimekuwa najiuliza kwanini watu Wakiona kivuko lazima wakikimbilie Kama vile wameona pepo?

Utashangaa watu Wanakimbia Kama vile wame sikia dunia Imefika mwisho, sio wanaume au Wanawake wote ni majanga tu.

Yaani una eza dhania ni game so Kuna mtu anawaendesha?
FB_IMG_17019521362814529.jpg
 
Mjue nyie hamuelewi pale

Wale wanaokimbilia wanawahi mbele ili wawe wa kwanza kushuka wanawahi kusimama mbele kabisa ya kivuko na wengi wao plan yao ni kuwahi daladala maana kuna watu wanakaaa kigamboni ndani ndani hadi kimbiji kusimama kwenye daladala ni shida so plan zao ni kupata siti za magari
 
So lile dude kumbe halina limitation kwamba watu kiasi fulani wanatosha?

Maana wanavyokimbilia hivyo utajua wameingia 200 au 500?likizidiwa je?
 
Kwani utaratibu umebadilika?
Back in 2016/17/18 ulikuwa unakatia ticket, unasubiri kivuko kije ‘nadhani pale kwenye ticket kunakuwa na limit kabisa ama huko Dar siku hizi mambo yamekuwaje? Lenie
 
Labda utaratibu umebadilishwa.

Kama hiyo picha ni ya kweli kwa ugombaniaji huo sidhani kama kuna anayeweza kuwaambia watu wametosha.
 
Mjue nyie hamuelewi pale

Wale wanaokimbilia wanawahi mbele ili wawe wa kwanza kushuka wanawahi kusimama mbele kabisa ya kivuko na wengi wao plan yao ni kuwahi daladala maana kuna watu wanakaaa kigamboni ndani ndani hadi kimbiji kusimama kwenye daladala ni shida so plan zao ni kupata siti za magari
Dah mateso kweli😂😄, so uki chelewa huendi nyumbani??
 
Back
Top Bottom