Utachagua kuishi wapi kati ya Marekani, Canada na Australia?

Bullshit

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,300
1,495
Hivi ukipewa nafasi ya kuishi katika nchi moja wapo tajwa hapo juu wewe kama mtafutaji unaweza kukimbilia nchi gani?.

Na toa maelezo kwanini unaipenda nchi hiyo.
 
Canada kwa sababu kwanza hakuna ubaguzi mkubwa kati ya mweusi na mweupe, urahisi wa maishabkati ya nchi hizi tatu Canada ni rahisi, population ndogo nchi kubwa hivyo program za uhamiaji ni rafiki kuliko USA na Australia.

Wacanada wana ustaarabu fulani hasa kutokana na wengi kuwa wahamiaji kutika nchi nyingi duniani ingawa inafuata majimbo, kama unaongea kifaransa nenda Quebec, kingereza Ontario nk. Huwezi kulala njaa kutokana na program za kusaidia wasiojiweza.

Pia ada za shule hasa vyuo ni poa kuliko USA na Australia. Nimeishi miaka 3 pia nina mtoto raia huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kero ya baridi hio nchi, nimeona wazaliwa kama watatu wa hio nchi wako apa nchi flan, ukiwauliza wanasema kuna baridi sana kule hme ndio maana tuko apa, ukipata kazi za ndani itakua poa sana
CANADA aisee.
natamani umoja wa mataifa wajenge Daraja la moja kwa moja kutoka Africa hadi kwa ukooo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naomba unipe connection na mm niende kutafuta maisha, niunganishe shemeji anipokee kama ndugu yako. Anisaidie mi naamini ndani ya miezi mi3 tu nitakuwa nishaseto
Canada kwa sababu kwanza hakuna ubaguzi mkubwa kati ya mweusi na mweupe, urahisi wa maishabkati ya nchi hizi tatu Canada ni rahisi, population ndogo nchi kubwa hivyo program za uhamiaji ni rafiki kuliko USA na Australia. Wacanada wana ustaarabu fulani hasa kutokana na wengi kuwa wahamiaji kutika nchi nyingi duniani ingawa inafuata majimbo, kama unaongea kifaransa nenda Quebec, kingereza Ontario nk. Huwezi kulala njaa kutokana na program za kusaidia wasiojiweza. Pia ada za shule hasa vyuo ni poa kuliko USA na Australia. Nimeishi miaka 3 pia nina mtoto raia huko.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ukipewa nafasi ya kuishi katika nchi moja wapo tajwa hapo juu wewe kama mtafutaji unaweza kukimbilia nchi gani?.

Na toa maelezo kwanini unaipenda nchi hiyo.
USA,Australia,Norway,Denmark is the best place to me,USA hata ukiwa na degree ya kutoka Tz na uzoefu wa kazi kidogo hawana noma,sio Canada
 
Canada kwa sababu kwanza hakuna ubaguzi mkubwa kati ya mweusi na mweupe, urahisi wa maishabkati ya nchi hizi tatu Canada ni rahisi, population ndogo nchi kubwa hivyo program za uhamiaji ni rafiki kuliko USA na Australia.

Wacanada wana ustaarabu fulani hasa kutokana na wengi kuwa wahamiaji kutika nchi nyingi duniani ingawa inafuata majimbo, kama unaongea kifaransa nenda Quebec, kingereza Ontario nk. Huwezi kulala njaa kutokana na program za kusaidia wasiojiweza.

Pia ada za shule hasa vyuo ni poa kuliko USA na Australia. Nimeishi miaka 3 pia nina mtoto raia huko.

Sent using Jamii Forums mobile app

Program za uhamiaji ni ngumu sana canada kuliko marekani.pia ubaguzi ni mkubwa kuliko marekani na program ya chakula hata marekani uwa wanatoa food stemp ikiwa huna kazi au kazi yako haikimizi maitaji.

Kuna faida zake kuishi canada na kuna faida kuishi marekani ila marekani kwa mtu mtafutaji ni bora kuliko nchi yeyote.
 
Misitu,
Sikubaliani na wewe Canada maisha ni expensive kuliko USA, ubaguzi upo ila unafichwa na watu wa wabaguzi ni wahamiaji kutoka Asia.
Watu wanaenda US wanatafuta njia ya kuingia Canada hlf ww sijui unaongea nn.... Anyway have you ever been in Canada?
 
Back
Top Bottom