Pisi za uswahilini

co fm

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
1,415
2,141
Wadau hasa nyie mnaokaa uswahilini, hivi kwanini watoto au mademu wa uswahilini wanaturingia sisi tunaoishi kishua katika mitaa yao.

Yaani unaweza kumuita anaringa balaa ila sasa ukicheki mwanaume anayetembea naye unachoka kabisa, hivi tatizo ni nini?
 
Wadau hasa nyie mnaokaa uswahilini,hivi kwanini watoto au mademu wa uswahilini wanaturingia sisi tunaoishi kishua katika mitaa yao…Yaani unaweza kumuita anaringa balaa ila sasa ukicheki mwanaume anayetembea naye unachoka kabisa,hivi tatizo ni nn?
Wengi wenu mmekosa ukakamavu na skendo za kutatuliwa marinda zinawaandama na kulambalamba lips ovyo
 
Waushuani mnaletaga mapenzi na kujifanya mnajua kupenda sana,hao watoto waushuani wanataka bilinge,yani kukimbizana,kupigana,zele heka heka mara upo na mwajuma,kisha aisha,kesho fatuma wao wanapenda mwanaume wa hivyo sio mwanaume umepooa unaleta romace tu.

Pia usisahau kuwapelekea zawadi kama vijora.
 
Nyie hamueleweki mnaringa sana .

Jielewe ,funguka sasa mtu anakupenda unakuwa kama mtoto mtoto basi yaishe yaishe naninataka shoo ?? Unakuwa kama demu unakatakata mara unablock mtu eti yaishe kwani wewe wanaume wengine huwaoni
 
Waushuani mnaletaga mapenzi na kujifanya mnajua kupenda sana,hao watoto waushuani wanataka bilinge,yani kukimbizana,kupigana,zele heka heka mara upo na mwajuma,kisha aisha,kesho fatuma wao wanapenda mwanaume wa hivyo sio mwanaume umepooa unaleta romace tu.

Pia usisahau kuwapelekea zawadi kama vijora.
Sawadakta, yaan mwanaume hauna hekaheka hapana,tunataka kusikia leo mwajuma akakufata kijiwen sijui aisha mlikuwa nae kwenye shughuli yaana ni heka heka mwanzo meisho
 
Eti wa kishua, halafu anaishi uswahilini!!!
Kwa hio humu JF sisi sote ni wauswahilini ?
Sijui mpoje watu wa humu.
Kika mtu anaetangaza mafanikio humu mnamuona muongo.
Hivi kama mimi sina hela basi kila mtu humu hana hela?
Hili ni jukwaa kama majukwaa mengine linakusanya kila aina ya watu. Haoa ni kama kijiji.
Kuna watu humu wana phd, waba master, kuna drs7, kuba wana siasa, wafanya biashara. Kunavwatu verified kama Zito, Nyerere, nk
Kwa nini unaiona JF ni jukwaa la walala hoi tu ?
Tabia hii nimeiona sana kwenye jukwaa la biashara. Waliofanikiwa wanabezwa sana.
Maoni yako yanaweza kusadifu wasifu wako.
Try to be positive. Mjibu mtu alicho uliza.
 
Back
Top Bottom