JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
To be continued....
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndugu wana Jf sipo hapa kukashifu wanawake wenye mashepu yao na walio jaliwa vichuguu ila nipo hapa kujua ni kwanini wanawake waliofungasha akili zao hazina akili. Naya sema haya baada ya kuwa na...
6 Reactions
83 Replies
5K Views
Nauliza tu. Kitu gani kwako au katika maisha yako ni kitamu. Swali langu KITAMU NI KIPI KWAKO? mie Chakula
1 Reactions
6 Replies
996 Views
Inakuwaje wanaJamiiForums Kutoa appreciation ni jambo zuri hususa kwa yule mtu ambae amejitolea kutoa simulizi bila ya malipo yoyote lengo tujifunze, tuburudike, tuonyeke na vinginevyo Haya...
19 Reactions
240 Replies
13K Views
Ukiwa na shida usiende kwa waganga wa dunia, muite mfalme wa amani anajibu maombi.
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Hapa majuzi nilipata email kutoka shirika moja la Afya hapa Marekani jina kapuni kutokana na usiri( privacy) ya kimkataba na sheria ya hilo shirika na pia naweza kushitakiwa na then ninaweza...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Mara kadhaa nimekuwa nikilisikia hili "watoto wa mjini" ama "Born town". Jambo ambalo limenifanya nitake kujua kuhusu wao ni kina nani na wanajishughulisha na nini...?? Fikra zangu kuhusu wao...
1 Reactions
7 Replies
937 Views
Mara nyingi nimekuwa nikifatila uzi za hapa JF kuona kile kinachoendelea lakini nimegundua kuwa kuna uzi zinasomwa Sana hapa nakupata comments kubao. Pia nimegundua mara nyingi uzi hizo nizile...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Imagine sasa hivi ni saa 10 alfajiri, hakuna hata mishe mishe za bodaboda huko nje, yaani mji umetulia tuliii tofauti na mikoa mingine kama Dar, Arusha na Mwanza.
7 Reactions
34 Replies
4K Views
Jamani nani anaweza kunipa utajiri. Nahitaji kuwa na hela na maisha yangu. Wanaume wananihonga nimechoka . Nimechoka kutegemea mwanaume
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani mimi sio perfect kwenye maisha yangu wala sijasoma pyscholojia ila kwasababu yenu na upendo wenu kwangu... na upend wangu kwenu ...nimeona tusaidiane kwa kadiri ya uwezo wangu na...
9 Reactions
181 Replies
63K Views
Am the Ghost writer and It's very honorable to be back again ndani ya jamiiforum. Am so glad to say I love jf and I love people who have been there for me. My name is Ghost, Nilijiunga na JF...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Leo kuna fainali ya UEFA EUROP nipo hapa jijini Arusha kwa mapumziko mafupi kesho narudi jiji la madereva... Kama kuna mkuu yoyote yupo hapa mjini kati maeneo ya Picnic aje tuchek wote gem ya...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Habari ndugu zangu, Hata kwenye vitabu vitakatifu imeandikwa kamwe usimuache elimu aende zake. Huo ni msemo ambao ulikuwa una-sound mara kwa mara akilini mwangu. Kwa kifupi, mimi ni mwanaume wa...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Hellow members,leo jioni angu haijawa powa sana baada ya kufukuzwa na mwanamama mmoja mmiliki wa duka la viungo pale kariakoo akidai kuwa mimi namchunguza. Ilikuwa hivi mida ya saa saba mchana...
23 Reactions
54 Replies
5K Views
Habari wakuu,nimeona bora tuanzishe Uzi huu wa kupost majina mapya ya watoto wa kike na kiume yaani hadi nick name hapa Naamini huu Uzi huenda ukawasaidia watu wanaotafuta majina ya watoto Haya...
7 Reactions
63 Replies
3K Views
CCM huko nyuma imewahi kuwa na watu waadilifu kama Jaji Warioba na Mzee Butiku. Je kwa sasa kuna kiongozi mwadilifu?
2 Reactions
4 Replies
964 Views
Yani ile dhana ya wamasai walefu inaenda kupotea, nadhani wanafanya interbreeding, au huku pwani hawanywi maziwa. Yani unakutana na mmasai kafupi mwenye hadhi ya kuitwa mbilikimo kabisa...
1 Reactions
4 Replies
684 Views
Habari, Kidogo mm humu ni mgeni, ila katka ugeni wangu kuna watu huwa naona wako serious kwenye swala la ku dislike yaani wao hiyo ndo kazi yao kubwa Kwa kweli sijajua kwamba hawa watu wana...
1 Reactions
8 Replies
718 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…