Nahitaji kuwa tajiri

MZURI SANA

JF-Expert Member
Oct 19, 2023
241
546
Jamani nani anaweza kunipa utajiri.

Nahitaji kuwa na hela na maisha yangu.

Wanaume wananihonga nimechoka .

Nimechoka kutegemea mwanaume
 
Unapatikana mkoa gani?
Unaweza kusafiri kuja Ukerewe?

Gharama ni nauli yako ya kwenda na kurudi, kula kulala juu yangu.

Nitakuonesha manuva halafu utarudi kupambana na hali yako.

Ofa hii ni kwa mleta mada tu.

N.B lazima, LAZIMA UWE NA KAZI au BIASHARA
 
Kmmke nimejibu nikidhani mleta mada ni mtu fulani yuko serious kumbe ni mjinga mjinga tu kama wajinga wengine.

Nimeshtuka baada ya kuona ameanzisha msururu wa threads nyiiiingi za kipuuzi puuzi.

NIMETENGUA OFA HII NILIYOKUWA NIMEITOA KWA MLETA MADA.

asanteni
 
Unapatikana mkoa gani?
Unaweza kusafiri kuja Ukerewe?

Gharama ni nauli yako ya kwenda na kurudi, kula kulala juu yangu.

Nitakuonesha manuva halafu utarudi kupambana na hali yako.

Ofa hii ni kwa mleta mada tu.

N.B lazima, LAZIMA UWE NA KAZI au BIASHARA
Nipe ofa hio tafadhari
 
Back
Top Bottom