Tunzo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 4,065
- 2,362
Leo kuna fainali ya UEFA EUROP nipo hapa jijini Arusha kwa mapumziko mafupi kesho narudi jiji la madereva... Kama kuna mkuu yoyote yupo hapa mjini kati maeneo ya Picnic aje tuchek wote gem ya Liverpool vs Sevila ila awe makini na hapo nje mitaa ya SHIVAS CLUB kuna totoz za kufa mtu kama kona bar vile kipindi cha nyuma.. Karibuni wakuu