Wanawake waliofungasha akili zao hazina akili kwanini

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Ndugu wana Jf sipo hapa kukashifu wanawake wenye mashepu yao na walio jaliwa vichuguu ila nipo hapa kujua ni kwanini wanawake waliofungasha akili zao hazina akili.

Naya sema haya baada ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na kirafiki na wanawake wa aina hii, wakuu wanawake wa hivi kabisa ukiwa nao unaona hapa hamna kitu ,

je ni nini kinawapelekea kuwa zero brain wa ndugu ili hali watoto wamejaliwa mafurushi ya asili
 
Zamani nilikua najiuliza kwanini hawaolewi nikaja kugundua kumbe kweli wengi wao akili hawana wanakuaga na expectations za abunuwasi, na vile tunawasifia sifia wanaamini wao ni watu special na wanatakiwa kuolewa na watu wenye uwezo fulani, na hata wakiolewa wanaamini hata wakiachika hawawezi kukosa mwanaume mwisho wa siku wanaishia mtaani.
Ni wanawake flan ambao hawajui wanataka nini. Next stop wanaenda kuwa viburudisho leo yuko na huyu kesho na yule.
 
Ndugu wana Jf sipo hapa kukashifu wanawake wenye mashepu yao na walio jaliwa vichuguu ila nipo hapa kujua ni kwanini wanawake waliofungasha akili zao hazina akili.

Naya sema haya baada ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na kirafiki na wanawake wa aina hii, wakuu wanawake wa hivi kabisa ukiwa nao unaona hapa hamna kitu ,

je ni nini kinawapelekea kuwa zero brain wa ndugu ili hali watoto wamejaliwa mafurushi ya asili ?View attachment 2797917View attachment 2797918
huwa ni shida sana, hawanaga akili na wanakuwa na kiburi sana. huwa wanaamini wao ni wazuri kuliko vimbaumbau na wanaume watawataka tu, ila umri ukiwatupa mkono huwa wanatia huruma sana.
 
Ndugu wana Jf sipo hapa kukashifu wanawake wenye mashepu yao na walio jaliwa vichuguu ila nipo hapa kujua ni kwanini wanawake waliofungasha akili zao hazina akili.

Naya sema haya baada ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na kirafiki na wanawake wa aina hii, wakuu wanawake wa hivi kabisa ukiwa nao unaona hapa hamna kitu ,

je ni nini kinawapelekea kuwa zero brain wa ndugu ili hali watoto wamejaliwa mafurushi ya asili ?View attachment 2797917View attachment 2797918
Makalio ni hifadhi ya mafuta ambayo ni nishati sukari sio protini wala madini. Kwa hio hayawezi boost akili.
Hata kwenye hayaongezi chochote sawa na asie nayo.
 
Ndugu wana Jf sipo hapa kukashifu wanawake wenye mashepu yao na walio jaliwa vichuguu ila nipo hapa kujua ni kwanini wanawake waliofungasha akili zao hazina akili.

Naya sema haya baada ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na kirafiki na wanawake wa aina hii, wakuu wanawake wa hivi kabisa ukiwa nao unaona hapa hamna kitu ,

je ni nini kinawapelekea kuwa zero brain wa ndugu ili hali watoto wamejaliwa mafurushi ya asili ?View attachment 2797917View attachment 2797918
Demand and supply mzee soko lao lipo juu ndio maana kukaa nao unatakiwa utumie akili maana wanaume tunapenda mwanamke mnyenyekevu wa kumpelekesha sasa mtu kama huyu ambae ana uhakika bila ya wewe ana options nyingi huwezi kumpelekesha mtashindwana kama usipotumia akili
 
Back
Top Bottom