Tuliosoma elimu ya chuo kikuu tukiwa na umri mkubwa tukutane hapa

kyanyangwe

Member
Oct 31, 2018
77
150
Habari ndugu zangu,

Hata kwenye vitabu vitakatifu imeandikwa kamwe usimuache elimu aende zake. Huo ni msemo ambao ulikuwa una-sound mara kwa mara akilini mwangu. Kwa kifupi, mimi ni mwanaume wa miaka 30 kwa sasa, nilimaliza kidato cha sita mwaka 2009 nikiwa na umri wa miaka 19, niseme tu nimekulia katika maisha ya kilala hoi tu.

So baada ya matokeo ya form 6 kutoka nilikuwa na division 1 point 9, nikaona ngoja kwanza niendelee na mishe za kupanda mlima Kilimanjaro (nilikuwa porter) coz nyumbani kulikuwa empty na mimi ndio firstborn naangaliwa na maza.

Nimepiga hizo mishe mpaka mwaka juzi ndio nikaamua kurudi shule, kwa sasa niko chuo kikuu fulani DSM mwaka wa pili nasomea uhasibu.

Kama kuna mwenzangu amewahi kusoma elimu ya chuo akiwa mzee kama mimi karibu tushee experience.

Asante.
 
PTER

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
10,156
2,000
Hivi mbona uzee mnapenda sana hiyo 2009 ulikuwa 19 tu unasema ni mzee ????
Habari ndugu zangu,

Hata kwenye vitabu vitakatifu imeandikwa kamwe usimuache elimu aende zake. Huo ni msemo ambao ulikuwa una-sound mara kwa mara akilini mwangu. Kwa kifupi, mimi ni mwanaume wa miaka 30 kwa sasa, nilimaliza kidato cha sita mwaka 2009 nikiwa na umri wa miaka 19, niseme tu nimekulia katika maisha ya kilala hoi tu.

So baada ya matokeo ya form 6 kutoka nilikuwa na division 1 point 9, nikaona ngoja kwanza niendelee na mishe za kupanda mlima Kilimanjaro (nilikuwa porter) coz nyumbani kulikuwa empty na mimi ndio firstborn naangaliwa na maza.

Nimepiga hizo mishe mpaka mwaka juzi ndio nikaamua kurudi shule, kwa sasa niko chuo kikuu fulani DSM mwaka wa pili nasomea uhasibu.

Kama kuna mwenzangu amewahi kusoma elimu ya chuo akiwa mzee kama mimi karibu tushee experience.

Asante.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
yna2

JF-Expert Member
Aug 18, 2018
15,593
2,000
Miaka 19 kidato Cha sita mdogo Sana..watu wanamaliza na 23-25 huko..ila usingeandika Kama ulighairi kuendelea na masomo ukapiga mishe ningekushangaa zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom