Kati ya Analyse na Umughaka yupi mkali katika simulizi?

Fene

JF-Expert Member
May 4, 2021
2,442
3,404
Inakuwaje wanaJamiiForums

Kutoa appreciation ni jambo zuri hususa kwa yule mtu ambae amejitolea kutoa simulizi bila ya malipo yoyote lengo tujifunze, tuburudike, tuonyeke na vinginevyo

Haya masuala ya tunzo naamini kwao sio lengo kwao hasa ukizingatia yameanza juzi tu

Kama wew ni mtu wa kufuatilia mikasa huwezi kukosa kuwajua watu hawa Analyse na UMUGHAKA

Naweza sema hawa jamaa kwasasa ndio best story teller haijalishi iwe uhalisia ama sio ila uandishi wao, namna ya kuhadithia, upangiliaji wa matukio unaona kabisa kuna upekee ndani yao, inafika hatua hadi watu wanakuwa na addiction na story zao

Wote ni wakali ila yupi ni mkali zaidi kwa upande wako?
 
Analyse ni mkali kwa sabb anajua kutumia njia ya mkato kweny hadithi na ikaeleweka vzuri kabisa.
 
Inakuwaje wanaJamiiForums

Kutoa appreciation ni jambo zuri hususa kwa yule mtu ambae amejitolea kutoa simulizi bila ya malipo yoyote lengo tujifunze, tuburudike, tuonyeke na vinginevyo

Haya masuala ya tunzo naamini kwao sio lengo kwao hasa ukizingatia yameanza juzi tu

Kama wew ni mtu wa kufuatilia mikasa huwezi kukosa kuwajua watu hawa Analyse na UMUGHAKA

Naweza sema hawa jamaa kwasasa ndio best story teller haijalishi iwe uhalisia ama sio ila uandishi wao, namna ya kuhadithia, upangiliaji wa matukio unaona kabisa kuna upekee ndani yao, inafika hatua hadi watu wanakuwa na addiction na story zao

Wote ni wakali ila yupi ni mkali zaidi kwa upande wako?
Tofauti ni moja tu mmoja amesoma na mwingine ajasoma sana...story zinajieleza kupitia maneno mpangilio wa visa, lugha fasaha, matumizi ya alama za lugha na kadhalika.
 
Analyse ni undisputed kwenye hii game

Nmewasoma wote wawili

Analyse ni mwandishi kabisa Kuna sehemu Ana add chumvi ku make a story decorative, umughaka ni kavu kavu (nb sio kwamba umughaka ni mwandishi mbaya Hapana ni mzuri sana)

Ila Analaisi aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom