Hey Jf members kwa wale WACHAGGA saa hv wanajiandaa na kujikataa katika area zao mbuzi wakutosha KISUSIO kwa wamachame! Nakwa wale WASUKUMA sa hv ndo makg ya mchele ndo wanunua! Je wapendanao vp...
Mtoto:Baba nimempenda Lucy mtoto wa jirani yetu awe mpenzi wangu
Baba:Heri hata hujamtongoza,huyo ni dada yako
Mtoto:Baba nimekutana na msichana mwingine
Baba:Nani huyo?
Mtoto:Joyce mtoto wa...
kizazi cha supra ni noma! Hebu msikie huyu wakuja alisikia kwenye redio mjini vijana wanakula bata ile mbaya yeye akaamua kuchukua wakwake kutoka kijijini na kuja nae mjini kwaajili ya kula bata.
Ghafla alichomoza sekretari na kuwatangazia wageni waliopo kwenye benchi wakisubiri kumuona bosi kuwa 'mwenye haja kubwa tu ndo aingie kumuona bosi' kweli kiswahili kipana!
Niifananishe na nini dunia hii ninayoishi, imefanana na nguo iliyochakaa, iliyojaa viraka kila sehemu.
Hebu angalia leo hii mambo yanayofanyika duniani, mara kuhalalisha ukameruni, wizi wa...
Baada ya kutoka chumba cha mtihani,wanafunzi walikamatana na kudundana mingumi ya kutosha.Mwalimu alipowakuta na kuwauliza kwanini wanapigana,mmoja wao akajibu;"mwalimu,mimi mtihani wa hesabu...
Hawa jamaa wanapopiga "round" kwenye vikao vyao huwa hawana hiyana katika kutoa pesa. Tatizo linakuja pale inapohitajika pesa kwa matumizi mengine nje ya kununua pombe wanakuwa wagumu kweli, sijui...
Jf ina memba wengi lakini wapo baadhi ambao kutokana na nature ya michango yao wametokea kuwa masupastaa. Fikiria watu kama M.Mkjj, Asprin, Finest, Maria Roza na wengine. Hivi kwenye maind yako...
10. Never walk without a document -- People with documents look like hardworking employees headed to important meetings. People with nothing in their hands look like they're headed for the...
Kanisani kulikua na ibada ya maombi PADRi akasema kama kuna muumin yeyote ana maombi ainuke.
Mara mtoto akaenuka na kuanza kuwaombea wazazi wake,
Akaanza mtoto: "Nawaombea wale wote wasiokua na...
kuna aka katabia ka kumpigia mtu simu badala ya kukusikiliza kujua kwa nini umempigia simu anaanza kukuuliza hivi 'nani amekupa namba yangu'. Nashut down
najua wengi hapa wamesomea degree/certificate zao pale UDSM au basi Mlimani Primary
Pale engineering au Coet au Foe kwa wale wa zamani kuna vigoda maarufu kama vimbweta
hivi sifa yake kubwa...
hey guys, Just wanted to share a serious matter that took place recently where i heard that. Exim Bank (T) Ltd have been sued with 146 million for participating in stealing / destroying and hiding...
Oya kuna watoto wa uswahilini walikuwa wakiongea, maongeza yao yalikuwa hivi.
Wa1:Baba yangu aisee ni mwoga!
Wa2:Kivipi?
Wa1:Jana kaingia chooni kumuona mende akapiga kelele mpaka mama akaja...