Mtoto akimbiza waumini kanisani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto akimbiza waumini kanisani!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by mpemba mbishi, Nov 28, 2011.

 1. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kanisani kulikua na ibada ya maombi PADRi akasema kama kuna muumin yeyote ana maombi ainuke.
  Mara mtoto akaenuka na kuanza kuwaombea wazazi wake,
  Akaanza mtoto: "Nawaombea wale wote wasiokua na mavazi kama wale wasichana wanaokaa uchi kwenye SIMU ya BABA wapate hela wanunue nguo,
  na pia nawaombea wale wasio kua na nyumba kama wale wanaume wanaokuja kulala na MAMA wakati baba akiwa hayupo wapate uwezo wajenge nyumba zao waache kuja kumsubua MAMA usiku.
  Mh! Kazi kwako !
   
 2. W

  Wambuzi JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  ovyooooo
   
 3. v

  vunjajungu JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Duuu!!!
   
 4. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2011
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Balaa wakati mwingine tuwaulize watoto wataenda kuomba nini hapo baadae.
   
 5. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #5
  Nov 28, 2011
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,237
  Likes Received: 451
  Trophy Points: 180
  nimeipenda avatar yako!!!
   
 6. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #6
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Tobaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
   
 7. p

  pililani Member

  #7
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 8. ZeMangi

  ZeMangi JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yethuu na maria..!!
   
 9. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #9
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Khaaa ! Pole weee !
   
 10. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #10
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Wewe kweli "wambuzi" huna haya wala aibu! Yaani mdau kajipinda kuteremsha uzi, then wakamtisha za uso ki-viazi !
   
 11. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #11
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hahaha umeonaeeeeeeeee! Lakini usijali mdauu kumbuka bondia mpiganaji haogopi ngumi za usoo
   
 12. Maayo

  Maayo JF-Expert Member

  #12
  Nov 28, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mbafu sanguuu!!!
   
 13. brightrich

  brightrich Senior Member

  #13
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mtoto amefanya vema kuwaombea wazazi wake wote waache uzinzi, Mungu husikia sana sala za watoto na watabadilika.
   
 14. S

  Senator p JF-Expert Member

  #14
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dogo apewe kher zote kumi,kwan kawaokoa wazaz wake kutoka ktk utumwa wa dhambi.
   
 15. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #15
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  Very good mtoto. Wazazi shame on you.

  Mzee mzima unaweka picha wa wanawake wakiwa uchi kwenye simu yako. Mpige picha mkeo na wanao wakiwa uchi uweke kwenye simu kama unaona fahari. MNAJIDHALILISHA!

  Na we mama, mzee katoka kidogo. Unaingiza midume mingine wakuzamishie midude yao, acha ujinga. Wewe ni mke wa mtu. ONA SASA WATOTO WANAKUUMBUA.
   
 16. MR. DRY

  MR. DRY JF-Expert Member

  #16
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 639
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  "Hawa watoto waliozaliwa kipindi cha jakaya yupo madarakani" by fella....nukta
   
 17. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #17
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  ni joke nzuri
   
 18. Wa Nyumbani

  Wa Nyumbani JF-Expert Member

  #18
  Nov 30, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 432
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Haijakaa vizuri kwangu. Maadili yanazingatiwa
   
 19. P

  Prince ED New Member

  #19
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  huyo mtoto danger
   
 20. libent

  libent JF-Expert Member

  #20
  Dec 13, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  huyu dogo inaonekana anampigia chabo mama yake wakati anapewa mambo
   
Loading...